Usioe wala kuolewa na mtu kalelewa na mzazi mmoja why?

Usioe wala kuolewa na mtu kalelewa na mzazi mmoja why?

Hao waliolelews na single parent sasa...
1000162299.jpg
 
Dah sio me wala ke hawa watu ni changamoto aisee.
Ukiweza achana nao tu.
Dah mwanaume akilelewa na mwanamke ile manhood hakuna.Yaani mnakuwa na familia mwanaume ndani hajulikani,hata heshima hakuna.
 
Inategemea ulikuwa na ukaribu kiasi gani na mtoto alilichukulia vipi suala hilo. Ila kuna madhara ya mtoto kulelewa na bibi na babu wakati baba na mama wako hai kama;

1. Kukosa uhusiano wa karibu na wazazi: Ikiwa mtoto analelewa na babu na bibi pekee, anaweza kukosa uhusiano wa karibu na wazazi wake. Hii inaweza kusababisha hisia za kutengwa au kukosa thamani.

2. Kukosa uzoefu wa kujitegemea: Ikiwa mtoto analelewa na babu na bibi pekee, anaweza kukosa uzoefu wa kujitegemea na kujifunza jinsi ya kufanya mambo yake mwenyewe. Hii inaweza kusababisha kutegemea sana wengine katika maisha yake ya baadaye.

3. Kupoteza mwelekeo wa kizazi: Ikiwa mtoto analelewa na babu na bibi pekee, anaweza kukosa mwelekeo wa kizazi na kuwa na wakati mgumu kujenga uhusiano mzuri na watoto wake wakati atakapokuwa mzazi.

Kwa hivyo, ni muhimu kwa wazazi kuendelea kuwa sehemu ya maisha ya mtoto wao hata kama wanaruhusu babu na bibi kumsaidia kulea. Hii inaweza kusaidia kuhakikisha kwamba mtoto anapata faida zote za kuwa na babu na bibi, lakini pia anapata uhusiano wa karibu na wazazi wake.
Watakuja hapa watapinga weee ila ukweli unabaki palepale mtoto aliyelelewa na wazazi na asiyelelewa na wazazi ni tofauti, isipotokea neema ya Mungu kumbadilisha mtoto asiyelelewa na wazazi au yeye mwenyewe akajitambua, huyo atakayeingia kwenye ndoa na mtoto asiyelelewa na wazazi ajiandae, mimi hii nasema sababu nimeshuhudia kwa macho yangu.
 
Huu ushauri mngekuwa mnatoa mapema, sa wenzenu tushavamia mitumbwi ya vibwengo🤣🤣🤣

Katika vitu nimeapa mwanangu sitaki aoe au aolewe na mtu from broken family.....ni mateso.
tell them young. wakikua watakumbuka
 
Napata wasiwasi na mwandishi..,ila kama anashida aseme tumsaidie
 
1. They are selfish.

2. They are more likely to have a side family, child, multiple family or end the marriage for stupid reasons.

3. They are emotional damaged. They don't care of other people feelings. Any thing is the right way as long as wapo happy hata for a short time.

4. They always end up single parent for some reasons, research shows they are 3 times likely to have single parent family.

5. They always do some stupid things, kuna vitu watafanya you will wonder why. Mostly women , this you will notice.

6. Absense of there parents. Its always an excuse.

7. If your born in a complete family avoid these people as you can. Matatizo yao ndo your down fall. And they will leave you, with them.

8. They deserve one another. Born from a single parent vs born from a single parent. They can live together. Don't mix up.

9. More from comments, before you say NO. Use Google and i will add research links with time.

Avoid avoid avoid. Both gender utajuta 🙏

Kataa kwa facts. With research to back up your reasons. Sio kelele

PAPERS PUBLISHED BELOW

Link 1
https://onlinelibrary.wiley.com/doi/abs/10.1111/j.1365-2524.2008.00781.x

Link 2
Mental health

Link 3
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 99%
 
Barack Obama amelelewa na mzazi mmoja(mama) na mkewe Michelle Obama amelelewa na Wazazi wote. Tusitegemee kama wataachana Leo Wala kesho.
 
Huyu niliyenae kalelewa familia yenye wazazi wote ila mbona anatabia hizo
si ndo hapo, mi wangu mzinzi anakula kila housegirl anaekuja, wake za majirani anapita nao, ana gubu selfish mpaka basi, tunaishi kama majirani isiwe kesi ebooooo.
 
Mi pia, ila najaribu, i’m real trying hard. Na namuomba Mungu nifanikiwe na kwa hakika mambo yananyooka.

Ila lazima apatikane wa kuubeba msalaba huu, na wewe uwe tayari kubadilika na kuact normal. As for wa kwangu mimi, i can say Alhamdulillah.

Sisi ni victim hata wakitulaumu hatukuchagua [emoji23][emoji23] zamani nilikua naumia nikinyooshewa kidole, not any more!
Acha kujipa victim mentality sasa hapo ndipo mnapoharibu. Ukishaanza kusema mimi ni victim unaiambia akili yako kuwa hata ukikosea ni matokeo ya kuwa victim. Don't be a victim be responsible.
 
Mimi binafsi sitaki kubebesha mtoto wa watu mizigo yangu kwa sababu najielewa nipo complicated kidogo. Bora niendelee ku Hit & Run siko tayari ku spend rest of my life na mtu permanent
As a man you have to be responsible.
 
Huu ushauri mngekuwa mnatoa mapema, sa wenzenu tushavamia mitumbwi ya vibwengo🤣🤣🤣

Katika vitu nimeapa mwanangu sitaki aoe au aolewe na mtu from broken family.....ni mateso.
Kwa hili wimbi la "zaa ntalea" ma mkwe hauchomoki
 
Mawazo duni kabisa.

Obama kakelewa na mzazi mmoja unasema je hapo?

Sababu za mtu kulelewa na mzazi mmoja unazijua zote ndugu?
Wewe unamjua Obama vizuri? [emoji848] Ungemjua usingesema haya. The guy is nothing without yule Michelle. Ukitaka kujua Obama is nothing and hakuna baba tazama mabinti zake walivyo.

Wewe unavyoonda mwanaume ambaye anatambulishwa kuwa ni first black president wa taifa kubwa na mwanaume wa chuma, ila skendo nyuma yake ukizisikia unajua tu hapa hakuna kitu.

Obama ana skendo za homosexuality. Obama huyo huyo tazama watoto wake namna wamekuwa. Mabinti wakiwa hovyo ni reflection ya baba wa hovyo. Kuwa na hela au mafanikio ya kiuchumi sio kigezo cha mtu kuwa ni baba bora.

Tazama Will Smith, tazama Dwayne wade, hawa wote wanapesa ila hawa uti wa mgongo wa kuwa baba wa familia mke ndie ana last say.

Nadhani haujui the Dark side story ya Obama.
 
Back
Top Bottom