Usioe wala kuolewa na mtu kalelewa na mzazi mmoja why?

Acha kujipa victim mentality sasa hapo ndipo mnapoharibu. Ukishaanza kusema mimi ni victim unaiambia akili yako kuwa hata ukikosea ni matokeo ya kuwa victim. Don't be a victim be responsible.
it's said, ikitokea issue. wana solve kwa kusema sina baba au mama
 
si ndo hapo, mi wangu mzinzi anakula kila housegirl anaekuja, wake za majirani anapita nao, ana gubu selfish mpaka basi, tunaishi kama majirani isiwe kesi ebooooo.
hadi leo upo nae he ain't that bad
 
Kwa hili wimbi la "zaa ntalea" ma mkwe hauchomoki
Yani iwe last resort, sio ndo first choice

Ila nitampa usia ajipange, nitamfundisha roho ya kibandidu.....

Honestly hawa watu ukiwa mlaini laini wanaweza kukupa uchizi, huwa hawajali lolote, hawajali kuachana....sasa wakikukuta unatoka familia ya wazazi wawili, hujawahi kuona wazazi wanaachana, unaogopa, Yani watakupelekesha wakutie wazimu.
 
Zote ni siasa hizo hizo mjomba. Sababu za mtu kulelewa na mzazi mmoja au bila mzazi ni nyingi sana ndugu.

Acheni unyanyapaa wa kijinga!
Naona umeweka hisia eneo ambalo unatakiwa kutumia akili. A perfect illustration of what mleta mada alikuwa anaongelea.

Sasa ambacho haujakielewa ni nini hadi ukanushe the whole bango?
 
Huyu niliyenae kalelewa familia yenye wazazi wote ila mbona anatabia hizo
Wazazi wanaweza kuwapo physically ila spiritually hawapo.

Baba anaweza kuwapo katika nyumba kama mwili ila hata wewe ukienda ishi kwenye hiyo familia unaona kabisa hapa mamlaka ya baba hayapo na watoto wanaenda kwa namna mama anataka na sio matakwa ya baba.
 
@Sera park njoo usome hii comment, ndicho nilichokuwa nakuelezea hapo juu. Baba anaweza kuwapo kwenye nyumba ila haplay role yake kama baba sababu spiritually watoto wanamuona mama ni strong kuliko baba of which is devil's work.
 
Wakuu mnapiga kwenye mshono.
 
Wewe unaongea vitu gani wewe? [emoji848] Mbona mleta mada amenyooka na anachokiongelea sio kitu cha kuambiwa kwa mdomo tu, macho yako ukiyafumbua utaona hapo vema kuwa ukweli upo wazi wazi.

Sasa kama unambishia mleta uzi haya tuambie wewe ukweli ni upi?

Kwamba si kweli watoto wanaolelewa na mzazi m'moja especially mama huwa na changamoto za kitabia ikiwamo kushindwa kuishi ndani ya ndoa na mahusiano bora?

Sasa kama unabisha tupe ukweli wako ila sio unamshambulia mleta mada as if huu uzi alikuletea wewe personally.
 
I wish, I could knew it before!! This is a nacked truth, I experienced it
@MamaSamia2025 huyu ni mojawapo wa wasomaji unaweza kuona anakiri kuona matokeo ya anachokiongelea mleta uzi. Why sasa unambishia.
 
Na vipi kuhusu ambao hawajalelewa na wazazi wote?

Hii mada imekaa kibaguzi kuliko kiuelimishaji.
Nikuelekeze jambo?

Kwenye haya maisha ukiona mtu kaongea jambo limekugusa usiwe mwepesi kuhisi amekuattack bali chukulia its the moment of truth.

Hakuna mtu aliyekamilika katika huu ulimwengu. Ambacho wewe unafanya vema kuna mwingine anaharibu, mleta mada atakapokiongea wewe hakitakuuma and hautacomment wala kulaumu kama hivi. Ila hii mada ya leo imekugusa ndio maana unahaha na kuleta kauli za lawama.

Nakushauri uache kuwa na akili ya mhanga( victim mentality) kujilalamisha au kujiona unaonewa au kuona unanyooshewa vidole badala ya kujitathimini na kuchukua hatua. Hebu kuwa serious kidogo na Maisha yako.
 
Not always NDO MAANA UMESEMA MORE LIKELY

Matatizo yako mengi mfano ukioa mwanamke ambaye kwao mama ake anamuendesha mume wake Lazima nae ajalibu kukucontrol ikishindikana ndoa inakufa!!

So matatizo ambayo yanawaacha watu na trauma yapo mengi sana so just weigh it up
 
Kama ungekuwa na hekima au walau busara then ungemshukuru mleta uzi kwa kukupa revelation juu ya sura ya Maisha ambayo pengine wengi huwa wanaiona baada ya kuiingia.

Wewe unaongea kwa kumlaani au kulaumu mleta uzi but nikuulize kama unafurahia kuona watu wanaingia katika mahusiano na watu ambao mleta uzi amewaelezea yaani watoto ambao ni product ya mahusiano ya mzazi m'moja? [emoji848]

Sio kwamba anawachukia ila hapa ameweka uzi ili kutoa angalizo kwa wanaotengeneza mahusiano na watu wanaotokea familia za hivyo ili wajihadharani na yajayo ambayo pengine wasingeambiwa popote.

Cha msingi zaidi ameandika uzi kuwasaidia ambao wanatokea familia za mzazi m'moja kujitathimini na kujitambua ili wasiwe changamoto kwa watoto wa familia bora. Kuna ubaya gani mtu kukwambia wewe ni mchafu halafu wewe unakazana kumwambia kuwa amekudharau amekuona wewe ni takataka sababu kwenu hakuna maji na sabuni, how is that even relate to hoja ya msingi? [emoji848]
 
I understand this. But facts should be said. We can't hide the truth because of emotional wellness and some one history. We Need to change and be better parents. Amna excuse. Hizi ni research za watu through the years.
I agree.
 
True
 
Hivi kataa ndoa kwa kingereza wanaitwaje?
 
Ni ngumu kunielewa ukilitazama hili swala kwa jicho la kujihami ila ukitoka huko mtaani hautatumia nguvu nyingi kuona ninachokwambia. Okay nitakupa mwanga kidogo.

Wanawake ndio wanaongoza katika kuwafanya watoto wao nao wawe single mothers sababu ndicho kitu wamekua nacho na ndicho wanakielewa. Anaweza tamani mtoto awe na baba wa kumjali ila nikuulize swali, kuna baba wa kumjali mtoto bila mama ambaye ni wife material kwa mumewe?

Ili baba bora wa watoto apatikane ni lazima mama mtoto awe alikulia makuzi ya kumuandaa kuwa mke bora na partner mzuri kwa mwanaume wake, akifanikiwa hilo ni rahisi kuvutia mwanaume bora wa kuwa baba wa familia na kwa watoto. Sasa is that the case kwa mabinti ambao wamezaliwa familia ambazo mama ni Barmaid, mdangaji, hajatulia, aliyezaa before marriage etc?

Turudi kwa wanaume. Mfano wewe na hayo machungu uliyo nayo juu ya malezi ya watoto unaotamani kuwa nao ili ujenge familia bora ila unasahau kwamba wewe huwezi kuwa baba bora na kujenga familia ya Baba, mama na watoto kama hauna kaliba ya kiume ya kuvutia wanawake wenye makuzi na malezi ya kuwa mke imara. Mwanamke mwenye kaliba ya kike huwa anakwenda na mwanaume imara ambaye anazimudu changamoto za maisha, hisia za mwanamke wake, anaweza kuwa kiongozi, anaweza kuwa mfariji, anaweza kumudu mahusiano of which hizi sifa ni nadra uzikute kwa mtoto wa kiume aliyelelewa na mama yake tu bila baba sababu wengi ndani ya mioyo yao mama ndio first priority kabla ya mke.
Unaona Diamond platinum ingawa ana pesa na uwezo ila ana struggle kusettle na kutengeneza familia ya mke m'moja na watoto wake anazaa tu hovyo but yupo karibu zaidi na mama yake. Hii sio udhaifu kwa upande wake ni life style ya kulelewa na mama tu, but je kwako ipo sawa?

Kimsingi unachotakiwa kufahamu ni kuwa mtu anayezaliwa na kulelewa na mama tu au baba tu huwa inampa wakati mgumu sana kublend na wale waliolelewa ndani ya ndoa takatifu na kuishi kwa misingi ya kuheshimu na kutumikia ndoa.

Ataweza kuwa huru na kujiona binadamu katika maisha ya kuishi na watu baki wasioendana na mfumo wa Ndoa au ambao wanaishi nje ya mfumo wa ndoa hapo atakuwa normal ila akiingia huku kwenye ndoa itataka jitihada binafsi sana kuweza kucope na mazingira.
 
Kuna watu sijui ni ubishi au vichwa vizito kuelewa ila mbona haya mambo yanaeleweka na kama hapa umetumia lugha nyepesi kabisa ila bado watakuja kukubishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…