Usioe wala kuolewa na mtu kalelewa na mzazi mmoja why?

Hata waliolelewa na Baba wakaishi na mama wa kambo pia Wana tabia za ajabu, huwa wana Sura mbili mbili, wakatili....as wamekua wakiwaona mama wa kambo Wana Sura mbili, Baba akiwepo wana roho nzuri, akiondoka wanabadilika........hawa ndio wabaya ajabu.....wabinafsi, hawajali lolote.....
 
Umepinga kishari na inaonyesha wazi kuwa umepanic haujaelewa. Wewe unataka kutuaminisha kuwa umetembelea jamii nzima ya watanzania na ukapata takwimu kamili kuwa haya matatizo mleta uzi ameyaweka wazi hapa kuwa hayapo na yeye ametutungia tu si ndivyo? [emoji848]

Me nadhani ujifunze kusoma vitu kwa utulivu na kutojibu kwa mihemko maana haikusaidii.
 
Tuwapumzishe ili wapate nguvu ya kuendelea kuleta maafa, hapana hawa ni mchaka mchaka tena ule wa puta puta hadi watapike nyongo.
Hata single fathers nao ni wale wale kasoro jinsia....

Shetani anapenda kuitikisa taasisi ya ndoa as anajua athari yake haimuachi mtu katika jamii.
 
Unajua hili jambo sijui kwann hamlioni. Katika familia unaweza kuona mna baba ila mama ndie anayejua kuwa baba ni dhaifu ila hasemi wala hawezi sema maana ni mume wake.

Baba ni kiongozi wa familia na ndie huwapa watoto wake directions kuanzia wakiwa wachanga hadi wakiwa watu wazima. Yeye ndie guide wa maisha yao.

Sasa kuna uwezekano mkubwa sana hao uliowaona ni product ya watoto wa kiume waliozaliwa familia ambazo baba si kiongozi wa familia na ndio maana walipoingia katika maisha ya balehe hakuwapo kuwaelekeza what to do next in life. Imagine kijana anakwenda kutomba kwa mara ya kwanza baba hajui.

Trust me mtoto wako wa kiume kabla hata hajaanza kutokea videmu kama una mazingira nae mazuri atakuonyesha dalili na ndipo kama mzazi kazi yako ni kumguide kufanya maamuzi sahihi.

Mfano kumuelekeza madhara ya ngono, kufanya mapenzi bila kinga, kupata watoto kabla ya kujijenga kiuchumi, elimu ya uzazi na malezi. Hivi vitu mtoto wa kiume akivipata kwa baba yake mapema huwezi kuta kazaa hovyo na kutapanya watoto hovyo.


So kukujibu ni kwamba hao vijana wamekulia familia ambazo hazina baba kiongozi zina baba mlipa bills tu.
 
Unachofanya ni kupotosha mada kuongelea hoja zako ambazo hazina mashiko na mada.

Yaani ni sawa na upo kikao cha ofisi unaanza kuleta personal agenda zako za kugombana na wafanyakazi wenzako mbele ya ma CEO wa kampuni badala ya kuaddress professional issues.

Mfano unaanza kulalamika namna wafanya kazi wenzako walivyokukaushia kukuita kwenye vikao cha beer [emoji482] vitatu mfululizo na wewe ukaamua kuwanunia na sasa kazini hamna maelewano mazuri, is that part of work issues?

So hapa unajaribu kuleta hoja lakini ambazo hazihusiani na mada mezani. Ni kweli wewe hivi vitu hauoni madhara yake kama vile mabinti wadangaji wanaojichora matatuu, kuvuta shisha, wakipost mavideo ya kujiachia mtandaoni wasivyoona tatizo na wanaona wapo right kabisa na wakiona watu wanawasema huwa wanawajibu kuwaambia kwann wanawafuatilia katika privacy zao? [emoji23]

Sasa kwann unafosi kujenga hoja za kukataa kitu ambacho wewe umechagua kutokukiona. Yaani mimi nikikusoma tu hapa naona ni wazi ni umechagua kukaza fuvu na kusema hakuna tatizo ile hali mimi binafsi nikiambiwa nitengeze documentary video hapa nitakuwa na the whole 5 season's with 20 one hour episodes in each season za kuonyesha jamii testimonials za wahanga wa hili janga la changamoto za makuzi ya malezi ya mzazi m'moja.

So acha kuwa kikwazo kwenye kuelimishana.
 
Jikaze mzee sometimes tunaanza na maisha kwa kulaumiwa ili tuwe chachu ya mabadiliko. Imagine wewe unalalamika hapa kwenye issue hii je umeshawahi wazia wale waafrika waliozaliwa utumwani, je wa Israeli waliozaliwa kipindi cha Hitler, basi imagine hata kuwa mtoto wa kiongozi mkubwa wa CCM ukipita mtaani unanyooshewa kidole na hauna hatia yoyote.

So usifocus na lawama, sikiliza ujumbe ndani ya lawama kisha badilisha narrative uwe bora na kuwaaminisha watu utofauti.
 
Mkuu unapiga kwenye mshono.
 
Wakuu endeleeni kufumua mishono.
 
Usichukulie personal
Alichoongea kina ukweli,lakini si kwa kila mtu ila wako likely
Kutoka situation yyte ile lazima izalishe mtu wa aina fulan hata si kwamba anaongea vibaya
Ebu nikupe senario

Mtoto wa kiume aliyekua fanilia ambayo baba anampiga mama yake yupo likely nayy kua anafanya hivo kwa mkewe!
Mzazi mlevi kupata mtoto mlevi (si wote wengi wao)
So vilema vinarisishwa

Hata ungezaliwa na kukuzwa na wazazi wawili maisha yao au tabia zao ni rahisi kuzichukua zikakufanya uwe mtu mzuri au wa aajabu
 
Sawa sikupingi ila ngoja niendelee kuishi.Maana nimeona yoteyoteila Kwa uchache na hasa watoto wa ndoa wakitukuza mama zao.

Nimeona wanandoa wakiishi pamoja ila wanakorofishana uzeeni na watoto wanaegemea Kwa mama. Unakuta mzee ni mkoloni mmoja mzuri kabisa yani( jasiri,weredi,kiongozi shupavu) ila anaharibu dakika za jioni Hadi unashangaa yani.

Nimeshuhudia washikaji zangu wakifanya harakati za kukana ujauzito na wamelelewa na wazazi wote.

Nimeshuhudia Binti anaacha shule form two anaenda Kwa bwana bila ya mahaili Wala Nini na mimba juu Ili hali anawazazi wote WAWILI tena wakatoliki safi kabisa kwa macho ya nyama na damu. Nimeona watoto waliolelewa tena katikafamilia ya mchungaji mpaka mchungaji mwenyewe analalamika lakini mtoto kabeba mimba mara mbili pasi na ndoa

Ni meshuhudia waliolelewa na mama tu pekee(Vijana wakiume) wakiogopa mahusiano na wengine wakiyapuuza kuwa hayana maana kwaomaana hayaounguzi chochote wakiyakosa.

Ndio maana nakuwa nipo nusunusu kukubalia kuwa upoa sahii mazima.
 
Kama huyu wangu ana hela ila ile manhood hana yani,inaboa sana kuwa na mwanaume legelege kila kitu ndio,hana sauti ndani yaani yupoyupo na familia yao ya hovyo
 
Kwa takwimu alizoziweka kutokana na utafiti aliofanya ni ndoa ngapi kati ya ngapi zinazohusisha mwanandoa ambaye kalelewa na mzazi mmoja ndoa yake ina matatizo yenye uhusiano wa moja kwa moja na yeye kulelewa na mzazi mmoja?
 
Una uhakika mtoa mada yeye hapotoshi jamii kwa generalisation yake kuwa mtu akilelewa na mzazi mmoja lazima atakuwa chanzo cha matatizo katika ndoa yake?

Huo utafiti kaufanya kwako tu na hivyo unataka kututhibitishia kwamba uzoefu unaoupitia wewe kila mmoja aliyeoa ama kuolewa na mwenza aliyelelewa na mzazi mmoja anaupitia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…