Usioe wala kuolewa na mtu kalelewa na mzazi mmoja why?

Kuna ukweli ila si mapenz yao , wamejikuta hvyoo wanatakia kanselin ya kutosha
 
There are so many languages but you have decided to speak facts.
 
Natamani nimtag mtu ila acha nivunge
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Well done, nina sifa karibia zote hapo. Nikifika mbinguni labda nitalelewa na wazazi wangu wote. IDGF
Mi pia, ila najaribu, i’m real trying hard. Na namuomba Mungu nifanikiwe na kwa hakika mambo yananyooka.

Ila lazima apatikane wa kuubeba msalaba huu, na wewe uwe tayari kubadilika na kuact normal. As for wa kwangu mimi, i can say Alhamdulillah.

Sisi ni victim hata wakitulaumu hatukuchagua πŸ˜‚πŸ˜‚ zamani nilikua naumia nikinyooshewa kidole, not any more!
 


Mbona ww baba ako na mama ako wameshindwa kukufundisha kua mwanaune haswa
 
Mimi binafsi sitaki kubebesha mtoto wa watu mizigo yangu kwa sababu najielewa nipo complicated kidogo. Bora niendelee ku Hit & Run siko tayari ku spend rest of my life na mtu permanent
 
Mimi binafsi sitaki kubebesha mtoto wa watu mizigo yangu kwa sababu najielewa nipo complicated kidogo. Bora niendelee ku Hit & Run siko tayari ku spend rest of my life na mtu permanent
I was once like you, ila kadri muda ulivyokuwa unaenda nikaanza kutamani na kuona umuhimu wa familia, na najua for sure i have to work towards my weaknesses ili mambo yawe.

Good for you, umetambua mapema na umeamua kukaa pembeni, unajua kinachosumbua ni watu wana matatizo na hawajui kama wana matatizo. Wanajiona wako sawa, ndio hao wanaowapa shida wenzao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…