Usioe wala kuolewa na mtu kalelewa na mzazi mmoja why?

Usioe wala kuolewa na mtu kalelewa na mzazi mmoja why?

I was once like you, ila kadri muda ulivyokuwa unaenda nikaanza kutamani na kuona umuhimu wa familia, na najua for sure i have to work towards my weaknesses ili mambo yawe.

Good for you, umetambua mapema na umeamua kukaa pembeni, unajua kinachosumbua ni watu wana matatizo na hawajui kama wana matatizo. Wanajiona wako sawa, ndio hao wanaowapa shida wenzao.
Uzee wangu utakuwa inspired na Lifestyle ya Le Mutuz, tofauti ni kuwa sipendi kupiga piga picha tu
 
Mtu aliyelelewa na single mother subconsciously atataka maisha ya kulelewa na mzazi m'moja yajirudie na kwa watoto wake sababu ndio Toxic System aliyorithi.

Kama ni mwanaume basi hatodate kwa misingi ya kuoa atadate ili kuzaa na mwanamke na hatojutia sababu yeye kakulia maisha ya hivyo.

Kama ni binti atakuwa anaogopa sana kucommit kwa mwanaume ambaye anaheshimu ndoa na anataka kupata mke kwanza kabla ya kumfanya kuwa mama watoto. Utaona binti anaanza vijisababu vya hapa na pale ili mradi tu ndoa isitokee yeye apite hivi.

Ila binti huyu atakuwa comfortable kuanzisha mahusiano na mume wa mtu maana deep down anajua hakutakuja kuwa na Ndoa hapo. Au ataanzisha mahusiano na hawa wanaume wahuni wasio na maadili ili tu apate sababu ya kujitetea baadae kuwa ilikuwa bahati mbaya au mwanaume ndie aliyesababisha. But deep down wanajua kuwa walichagua iwe hivyo haikuwa bahati mbaya.

Anyways, ukiona umetokea familia decent ambayo ina misingi ya heshima ya ndoa tafuta ambaye anatokea the same ili upunguze risks. Kama utakutana na ambaye anatokea single mother au single parent House hold then anzisha nae mahusiano but be very careful sababu its just a matter of time wanaweza kureveal who they really are.
 
Jamaa kaandika ukweli mtupu[emoji119][emoji119] watoto waliolelewa na mzazi mmoja especially mama huwa wana shida flan kwenye makuzi yao

ndo mana huwa inashauriwa(mwalimu wangu wa saikolojia) alisema kama wewe ni singo maza make sure unamtafutia mwanao baba hata kama ni mjomba, baba au kaka yako ambae unamwamini ili mwanao awe na malezi ya pande zote mbili ni muhimu sana kwake
 
1. They are selfish.

2. They are more likely to have a side family, child, multiple family or end the marriage for stupid reasons.

3. They are emotional damaged. They don't care of other people feelings. Any thing is the right way as long as wapo happy hata for a short time.

4. They always end up single parent for some reasons, research shows they are 3 times likely to have single parent family.

5. They always do some stupid things, kuna vitu watafanya you will wonder why. Mostly women , this you will notice.

6. Absense of there parents. Its always an excuse.

7. If your born in a complete family avoid these people as you can. Matatizo yao ndo your down fall. And they will leave you, with them.

8. They deserve one another. Born from a single parent vs born from a single parent. They can live together. Don't mix up.

9. More from comments, before you say NO. Use Google and i will add research links with time.

Avoid avoid avoid. Both gender utajuta 🙏

Kataa kwa facts. With research to back up your reasons. Sio kelele

PAPERS PUBLISHED BELOW

Link 1
https://onlinelibrary.wiley.com/doi/abs/10.1111/j.1365-2524.2008.00781.x

Link 2
Mental health

Link 3

Mawazo duni kabisa.

Obama kakelewa na mzazi mmoja unasema je hapo?

Sababu za mtu kulelewa na mzazi mmoja unazijua zote ndugu?
 
Pia ogopa sana kuoa au kuolewa na kiingereza na kiswahili kwenye machapisho yake. Na kama kichwa cha habari kikawa kiswahili halafu kwenye maelezo kukawa na kiswanglish unapaswa kuogopa zaidi na kukaa mbali. Sababu ni zifuatazo;
1. Watu wa aina hii huwa jeuri sana na hata akitokea mtu kumrekebisha atajibu kijeuri "read or leave".
2. Ni watu ambao maisha yao yamekosa uhalisia. Ni watu ambao hudhani kwa kusoma machapisho mbalimbali basi wanakuwa wameshajua kila namna ya kuishi.
3. Ni watu wenye chuki mbaya sana dhidi ya binadamu wenzao. Hufikia hatua ya kuwabagua watu waliolelewa na mzazi mmoja na kuona hawafai kuolewa wala kuoa. Kimsingi mtu kama huyu ni adui wa binadamu na amejawa na kiburi cha uzima.
 
1. Nimeleta research sio story sio kelele. Papers zipo

2. Upo emotional retard.

3. Mzee ingia shule, somesha watoto uache makasiliko ya lugha.

4.. Use few words. With details to elaborate your points. No one reads alot.

5. Sorry for inconveniences
 
Zote ni siasa hizo hizo mjomba. Sababu za mtu kulelewa na mzazi mmoja au bila mzazi ni nyingi sana ndugu.

Acheni unyanyapaa wa kijinga!
The truth should be out . That's why kuna research. We prove facts. Sio kuongea siasa na kujibu vitu kutumia emotions.
 
1. Nimeleta research sio story sio kelele. Papers zipo

2. Upo emotional retard.

3. Mzee ingia shule, somesha watoto uache makasiliko ya lugha.

4.. Use few words. With details to elaborate your points. No one reads alot.

5. Sorry for inconveniences
Wewe kenge unaleta story za kipuuzi ukadhani kila mtu ni mjinga. Halafu sio kila kitu akifanya mzungu kipo sahihi. Shule nimesoma na nina elimu ya kutosha. Kuhusu lugha nimeshavuka kwenye kiingereza kwa sasa hivi nakaribia kukijua kifaransa. Slay queens ndo huwa wana mambo ya kuongea kiswanglish. Wewe ni slay queen?
 
Among of them they have Ton of anger issues 🤦‍♀️

With men - Violent..angered..untrustful and suspicious and unhealthily competitive nature with other/fellow men

With women - "Daddy-issues"
with men sexually and behaviour-wise😊
 
Msimbe hawezi lea mtoto, atamlea kisimbe
 
Back
Top Bottom