Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
- Thread starter
- #81
1. Nakuheshimu sanaWewe kenge unaleta story za kipuuzi ukadhani kila mtu ni mjinga. Halafu sio kila kitu akifanya mzungu kipo sahihi. Shule nimesoma na nina elimu ya kutosha. Kuhusu lugha nimeshavuka kwenye kiingereza kwa sasa hivi nakaribia kukijua kifaransa. Slay queens ndo huwa wana mambo ya kuongea kiswanglish. Wewe ni slay queen?
2. Tukishindana shule na exposure kwa umri wangu na exposure zangu. Sio jambo jema
3. Kiswahili ningekuwa na hard times to express my findings.
4. Emotional expressions haisaidii hili jambo. Changia mada kwa lugha yoyote ni sawa. Sio kugombana aijengi.
5. Hizi sio story mzee ndo maana kuna link za research. Tunatoa personal experience na research findings.
6. Thread sio ya kijiweni sheikh. Tuna references
7. Kama kweli una shule na elimu. Toa tuone na reference hatuna shida. Ila sio kujitapa