Usioe wala kuolewa na mtu kalelewa na mzazi mmoja why?

Dah sio me wala ke hawa watu ni changamoto aisee.
Ukiweza achana nao tu.
Dah mwanaume akilelewa na mwanamke ile manhood hakuna.Yaani mnakuwa na familia mwanaume ndani hajulikani,hata heshima hakuna.
 
Watakuja hapa watapinga weee ila ukweli unabaki palepale mtoto aliyelelewa na wazazi na asiyelelewa na wazazi ni tofauti, isipotokea neema ya Mungu kumbadilisha mtoto asiyelelewa na wazazi au yeye mwenyewe akajitambua, huyo atakayeingia kwenye ndoa na mtoto asiyelelewa na wazazi ajiandae, mimi hii nasema sababu nimeshuhudia kwa macho yangu.
 
Huu ushauri mngekuwa mnatoa mapema, sa wenzenu tushavamia mitumbwi ya vibwengo🤣🤣🤣

Katika vitu nimeapa mwanangu sitaki aoe au aolewe na mtu from broken family.....ni mateso.
tell them young. wakikua watakumbuka
 
Napata wasiwasi na mwandishi..,ila kama anashida aseme tumsaidie
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 99%
 
Barack Obama amelelewa na mzazi mmoja(mama) na mkewe Michelle Obama amelelewa na Wazazi wote. Tusitegemee kama wataachana Leo Wala kesho.
 
Huyu niliyenae kalelewa familia yenye wazazi wote ila mbona anatabia hizo
si ndo hapo, mi wangu mzinzi anakula kila housegirl anaekuja, wake za majirani anapita nao, ana gubu selfish mpaka basi, tunaishi kama majirani isiwe kesi ebooooo.
 
Acha kujipa victim mentality sasa hapo ndipo mnapoharibu. Ukishaanza kusema mimi ni victim unaiambia akili yako kuwa hata ukikosea ni matokeo ya kuwa victim. Don't be a victim be responsible.
 
Mimi binafsi sitaki kubebesha mtoto wa watu mizigo yangu kwa sababu najielewa nipo complicated kidogo. Bora niendelee ku Hit & Run siko tayari ku spend rest of my life na mtu permanent
As a man you have to be responsible.
 
Huu ushauri mngekuwa mnatoa mapema, sa wenzenu tushavamia mitumbwi ya vibwengo🤣🤣🤣

Katika vitu nimeapa mwanangu sitaki aoe au aolewe na mtu from broken family.....ni mateso.
Kwa hili wimbi la "zaa ntalea" ma mkwe hauchomoki
 
Mawazo duni kabisa.

Obama kakelewa na mzazi mmoja unasema je hapo?

Sababu za mtu kulelewa na mzazi mmoja unazijua zote ndugu?
Wewe unamjua Obama vizuri? [emoji848] Ungemjua usingesema haya. The guy is nothing without yule Michelle. Ukitaka kujua Obama is nothing and hakuna baba tazama mabinti zake walivyo.

Wewe unavyoonda mwanaume ambaye anatambulishwa kuwa ni first black president wa taifa kubwa na mwanaume wa chuma, ila skendo nyuma yake ukizisikia unajua tu hapa hakuna kitu.

Obama ana skendo za homosexuality. Obama huyo huyo tazama watoto wake namna wamekuwa. Mabinti wakiwa hovyo ni reflection ya baba wa hovyo. Kuwa na hela au mafanikio ya kiuchumi sio kigezo cha mtu kuwa ni baba bora.

Tazama Will Smith, tazama Dwayne wade, hawa wote wanapesa ila hawa uti wa mgongo wa kuwa baba wa familia mke ndie ana last say.

Nadhani haujui the Dark side story ya Obama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…