Means ukujua sehemu sahihi yakuweka order yako.Inapo kuja kukutoa afu inaendelea uelekeo wake nikwamba kuna order ilifuatwa apo na sio kwamba ilikuja ili upate loss.unarisk 1% imetokea candle imepiga 1% down na ikarudi juu ndan ya 10 mins then ndo ikaendelea juu, ivi ni vitu very common
Means ukujua sehemu sahihi yakuweka order yako.Inapo kuja kukutoa afu inaendelea uelekeo wake nikwamba kuna order ilifuatwa apo na sio kwamba ilikuja ili upate loss.
Forex ni data ambazo ziko presented inform of charts.Ili utrade forex inabidi uwe na maarifa/uelewa sahihi was how price ina move. Otherwise tutabaki kusema forex is scam.
no one makes a profit with mt4Kwhy hapo ni vp anamake prof/loss
Ni kweli fundamental analysis inatawala soko, hasahasa interest rates decisions ila kuna muda banks wenyewe soko hawalishikilii kama wiki mbili zilizopita vita vya Hamas- Israeli ilileta demand of gold.
Sawa hakuna anaejua price itaenda wapi nakubali.Lakini price ikitaka kwenda juu ama chini itakupa mazingira yote yakukuonesha kwamba inageuka upande mwingine.hakuna anaejua price inaenda wap, even central bank rarely know it, wanaotrade ni wengi u start with banks then follow up HEDGE FUNDS, all these wanatrade kutokana na wanavojua
Swala la kambwa amna watu wanafanya maisha kwa mt4 ni upotoshaji
Sawa hakuna anaejua price itaenda wapi nakubali.Lakini price ikitaka kwenda juu ama chini itakupa mazingira yote yakukuonesha kwamba inageuka upande mwingine.
Swala la kwamba amna anae make profits with mt4 ni upotoshaji.Japo sikatai watu wanapoteza hela kwenye forex
ok tutumie mfano mzuri wewe unaishi kwa mt4?
Kwa hili naomba nisiwe mfano kabisa.Wala sihitaji kutumia nguvu kubwa kuwamanisha ichi . Wapo watu nawajua wanatengeneza maisha kwa forex. Na sio kwamba labda walianzia apo tu walijipa muda kabla yakufikia iyo hatua ya kumake profits.Imagine mtu ana miaka 13 kwenye forex, unafikiri experience yake niyakitoto.ok tutumie mfano mzuri wewe unaishi kwa mt4?
Kwa hili naomba nisiwe mfano kabisa.Wala sihitaji kutumia nguvu kubwa kuwamanisha ichi . Wapo watu nawajua wanatengeneza maisha kwa forex. Na sio kwamba labda walianzia apo tu walijipa muda kabla yakufikia iyo hatua ya kumake profits.Imagine mtu ana miaka 13 kwenye forex, unafikiri experience yake niyakitoto.
Dollar aiporomoki Kama maembe.Chart itaonyesha dollar inaporomoka na trader atajua ndio muda sahihi wa kutafuta opportunity ya kuisell dollarforex sio experience, anything anytime can happen kwenye forex, trading ni maisha halisi ya sarafu mfano dola inaweza kuporomoka same as gbp haihitaji experience apo ila hayo ni maisha
Dollar aiporomoki Kama maembe.Chart itaonyesha dollar inaporomoka na trader atajua ndio muda sahihi wa kutafuta opportunity ya kuisell dollar
Yani kiufupi dollar ipande thamani, ama iporomoke trader ataelewa kwenye chart yake na ndio opportunity kwake either kuibuy ama kuisell.
Sikatai kweli ngumu ndio maana wengi wanaishia kukata tamaa,ama kupoteza hela lakini inahitaji maarifa na experience ya kutosha kidogo.maisha sio rahisi ivo
Mm nmekufatilia boss/mkuu inawez Ikawa kwel Kuna kitu unakijua kwnye brokage huko lakin usitumie nguvu kubwa kubisha watu kuwa hawapati faida maan hata wanaohold hiz bitc some point wanapoteza coz Kuna kushuka value na kupanda na wabongo wengi hatuwez kuivest kwenye long run coz mtu una laki mbili utaivest kw miaka mingapi ije ijidouble kw expectation za kwamba itapanda??no one makes a profit with mt4
Mm nmekufatilia boss/mkuu inawez Ikawa kwel Kuna kitu unakijua kwnye brokage huko lakin usitumie nguvu kubwa kubisha watu kuwa hawapati faida maan hata wanaohold hiz bitc some point wanapoteza coz Kuna kushuka value na kupanda na wabongo wengi hatuwez kuivest kwenye long run coz mtu una laki mbili utaivest kw miaka mingapi ije ijidouble kw expectation za kwamba itapanda??
So watu Wanamake profit na wanaishi vzur tu kama ww ulifeli na Imani wapo waliotoboa
Sikatai kweli ngumu ndio maana wengi wanaishia kukata tamaa,ama kupoteza hela lakini inahitaji maarifa na experience ya kutosha kidogo.