Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

Hizi concept Kuna kitabu kinaelezea?
 
Hizi concept Kuna kitabu kinaelezea?
Bro hizi concept sijaziona kwenye kitqbu chochote mentor wangu alikua anazifundisha kutoka kichwani na he used to tell me forex inahitaji exceptional knowledge ambayo Ni unique sio zilizoko YouTube....Na hzo base candles zimekua classified into single base candle,double base candle Na triple base candles Na Ziko powerful ukichanganya Na market structure..Kuna mdau alisema atasoma YouTube zile Ni universal knowledge Ni ngumu kukupa success kwenye game
 

Ningependa kuijua hizi candle zaidi maana market structure sio shida.
 

kwanza hakuna kitu kama supply and demand kwenye forex trading, you arent even trading in the first place leave alone kuweka theories za supply and demand, you are only BETTING you arent supplying anything same as no one is demanding anything from you, shikilia neno BETTING then niambie supply and demand inahusika vp kwenye mechi ambayo kipa ni magwaya
 

mentor wako mwambie akurudishie ela yako
 
Ulivyosema tu kuwa ulirudi kwenu Tabora nikacheka kidogo na kukuonea huruma kwa sababu nafahamu matatizo ya watu wa Tabora. Mji na mkoa ule unaongoza kuwa na vichaa hapa Tanzania, it's like almost kila ukoo una kichaa ama kichaa mtarajiwa, it's given. Na ni kichaa tu ambaye anaweza kuacha kazi ya maana na kujiunga na Forex.
 

ila we jamaa 😂
 
You are talking what you don't know...edge,edge,edge period
 
Naomba Leo ubeti uje n hzo nambq..consistency is a key
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…