[emoji23]Bora nilime tumbaku sio forex sijui forest Mana nimeona kijana TIA anakesha mbele ya screen miezi ila kwa sasa ni saidia Fundi na hataki kuskia hiyo midude.
Asante sana, ngoja nianze kufuatilia mdogomdogoIla mkuu tafuta kwanza elimu hata ya mwaka mmoja, usiingie kichwakichwa.
Kwasasa hali za stocks ni mbaya kwasababu ya interest rates ambazo FED wanaziraise, ila wametoa greenlight kuwa watapunguza riba by 2024.
Nikipata resources nzuri sana nitakutumia.Asante sana, ngoja nianze kufuatilia mdogomdogo
Bora yule anaepata laki 5 anaenda kula Bata na mademu ,kumwagilia moyo weekend. Kuliko kuweka doka 200 forex utegemee itazaa. Yaani kwenye dola 100 kuona negative 90 nikugusa tu lakini kuona profit hata dola 10 ni kivumbi
Yaani una account ya Dola 100 alafu unatrade kama mtu mwenye account ya 10K?Forex hii ingekuwa iko two sided kama coin, buy and sell kama tunavyo aminishwa kwenye makaratasi wengi wangetoboa.Lakini niwazi kwamba hii kitu imelalia upande mmoja haijalishi upande gani umechagua italalia tu kwenye loss
ShukraniNikipata resources nzuri sana nitakutumia.
Kwasasa ninazo za kawaida ambazo naona hazitakusaidia.
daah kidogo wew umeonesha uhalisiaaa wa forex..
Sizungumzii ukubwa wa account nazungumzia mwenendo wa sokoYaani una account ya Dola 100 alafu unatrade kama mtu mwenye account ya 10K?
Lazima uliwe kichwa.
Soko lina uncertainties, so hapo ni kutumia risk management na strategy inayoleta returns kuanzia hata 25% mpaka 75%.Sizungumzii ukubwa wa account nazungumzia mwenendo wa soko
Mkuu Mimi sio trader na sijui chochote kuhusu trading Ile my best friend (ME) ndo anajua hayo mambo Mimi sijui kitu kabisaaaaaaSamahani naomba tubadilishane contact pm please. I can see you're having a lot of funny. Then we can talk about trading please hakuna mitongazano.
Semaa inaonekana unapenda mno kuiwahi hela yako unaila kabla haijaliwa na wengine
Umemza madini yake kinyama. Yeye anaweka orders zake pale masses Wana place sl. Ni mentor to tomYes mkuu amefariki mwaka huu, ana msemo wake mkubwa sana " When the market wants to go up, it must go down first, it must go to the orders, the professionals would rather die than chase the markets".
" The good trade is a hard trade".
"The best trades occur after the masses have been stopped out".
May this great trader rest in peace.
Poa poa nimekupataMkuu Mimi sio trader na sijui chochote kuhusu trading Ile my best friend (ME) ndo anajua hayo mambo Mimi sijui kitu kabisaaaaaa
Aisee.Mkuu Mimi sio trader na sijui chochote kuhusu trading Ile my best friend (ME) ndo anajua hayo mambo Mimi sijui kitu kabisaaaaaa
Yeah palepale.Umemza madini yake kinyama. Yeye anaweka orders zake pale masses Wana place sl. Ni mentor to tom
Ila unatamani kuingia sokoni?Mkuu Mimi sio trader na sijui chochote kuhusu trading Ile my best friend (ME) ndo anajua hayo mambo Mimi sijui kitu kabisaaaaaa
Niwe mkweli sijui kitu kabisaa na sitaki kujua,moyo wangu upo too soft kwakweliAisee.
Kwakweli inahitaji moyo mgumu.Niwe mkweli sijui kitu kabisaa na sitaki kujua,moyo wangu upo too soft kwakweli