Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi firms hazitaki hela kweli ya kudeposit?Msidanganyane nimetoa documentary hapo kuwa best trader kwenye best investment firms anawin 50 - 55 percent ya trade zake zote. Yaani kama wewe toka uanze Forest umepoteza 45- 50 percent tu ya hela yako leta data zako nikutafutie kazi huku Frankfurt kwenye investment firms.Maana hao watu wanatafutwa balaa.
Aisee hii ngoma alinialika jamaa yangu ninaemheshimu sana, walipoanza training kama saa 11.30 jioni nikasikia good morning nikawa scared, baada ya hapo hakuniona tena.Kuna watu waliacha kazi enzi za good morning wale wazee wa kuuza saa ya mkononi wa milion 5.
Walikula chekundu
Good morning ilikuwaje?Aisee hii ngoma alinialika jamaa yangu ninaemheshimu sana, walipoanza training kama saa 11.30 jioni nikasikia good morning nikawa scared, baada ya hapo hakuniona tena.
Hawa watu wa goodmorning Hawa zile efforts wanazoziweka kwenye goodmorning wangeziweka kwenye startups zao vijana tungekuwa vzr sana kiuchumiAisee hii ngoma alinialika jamaa yangu ninaemheshimu sana, walipoanza training kama saa 11.30 jioni nikasikia good morning nikawa scared, baada ya hapo hakuniona tena.
Ndo maana zinatafuta matrader ambao wanaweza kutimiza kutopata loss zaidi ya 45 percent ya portfolio zao. Investment firms hazipati hasara maana investment zao wanazikatia bima. Ila the more they win the better the reputation they gain. Forex is full of uncertainty and not understandable. And in order to succeed in business you need to understand what you are doing with your money. Hawa watu wanaotudanganya ni kwa sababu tunawekeza kwenye biashara ambayo haieleweki. Kama hauwezi kumuelezea mtoto wa miaka mitano biashara unavyotaka kuwekeza. Usiwekeze we hela yako bora ununue shamba ukipata idea nzuri ya biashara unachukua mkopo bank. Forex ilitajirisha watu miaka huo ya 80 na 70 ambapo trading ilikuwa inafanywa kwa simu. Na watu walikuwa na inside information. Now days ni chaka la kupiga hela kwa wachache.Hizi firms hazitaki hela kweli?
So hulipii ile fee fulan nimesahau jina lake, kule Uingereza naona wanalipa fee kabla hawajakupa pesa yao.Ndo maana zinatafuta matrader ambao wanaweza kutimiza kutopata loss zaidi ya 45 percent ya portfolio zao. Investment firms hazipati hasara maana investment zao wanazikatia bima. Ila the more they win the better the reputation they gain. Forex is full of uncertainty and not understandable. And in order to succeed in business you need to understand what you are doing with your money. Hawa watu wanaotudanganya ni kwa sababu tunawekeza kwenye biashara ambayo haieleweki. Kama hauwezi kumuelezea mtoto wa miaka mitano biashara unavyotaka kuwekeza. Usiwekeze we hela yako bora ununue shamba ukipata idea nzuri ya biashara unachukua mkopo bank. Forex ilitajirisha watu miaka huo ya 80 na 70 ambapo reading ilikuwa inafanywa kwa simu. Na watu walikuwa na inside information. Now days ni chaka la kupiga hela kwa wachache.
Nyie waoga Sana mtatajirika kweli km wa south,🤣Juzi Mimi na rafiki yangu tumeweka $10
Jana asubuhi ikawa $20.50
Nikamwambia withdraw hiyo $10 kwanza tuile Mambo yasiwe mengi
Alikua anatoa darasa na tahadhariMshana Jr nae alikula za uso?
Aisee kipindi hiko banaForex imewadondosha wengi nnaowajua kama ilivyo network marketng. Hela za kudownload n hatari sana.
Kabla ya kuanza training ndo salamu yao Qnet 24/7 ni hiyo tu.Good morning ilikuwaje?
I'm sure the guy is smart enough. Ila huwa kuna katundu kaujinga human beings tunako.Alikua anatoa darasa na tahadhari
Lakini wahanga hawakutaka kumuelewa zaidi ya kumkejeli tu
Yeah...ila pesa ya chap chap nayo inabrainwash kama ze Mwamposaz......Hawa watu wa goodmorning Hawa zile efforts wanazoziweka kwenye goodmorning wangeziweka kwenye startups zao vijana tungekuwa vzr sana kiuchumi
Chuo gani? Nimemaliza BSc. Miaka 18 iliyopita PALE SUA. Huyo jama ni kilaza mmoja hivi akawa anatupanga ili tuache kazi atuajiri kwenye hiyo Forex sijui nini. Tukamuwashia moto akaleft group.Bora hujaacha chuo.
Aisee.Chuo gani? Nimemaliza BSc. Miaka 18 iliyopita PALE SUA. Huyo jama ni kilaza mmoja hivi akawa anatupanga ili tuache kazi atuajiri kwenye hiyo Forex sijui nini. Tukamuwashia moto akaleft group.