Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

Msidanganyane nimetoa documentary hapo kuwa best trader kwenye best investment firms anawin 50 - 55 percent ya trade zake zote. Yaani kama wewe toka uanze Forest umepoteza 45- 50 percent tu ya hela yako leta data zako nikutafutie kazi huku Frankfurt kwenye investment firms.Maana hao watu wanatafutwa balaa.
Hizi firms hazitaki hela kweli ya kudeposit?
 
Aisee hii ngoma alinialika jamaa yangu ninaemheshimu sana, walipoanza training kama saa 11.30 jioni nikasikia good morning nikawa scared, baada ya hapo hakuniona tena.
Hawa watu wa goodmorning Hawa zile efforts wanazoziweka kwenye goodmorning wangeziweka kwenye startups zao vijana tungekuwa vzr sana kiuchumi
 
Hizi firms hazitaki hela kweli?
Ndo maana zinatafuta matrader ambao wanaweza kutimiza kutopata loss zaidi ya 45 percent ya portfolio zao. Investment firms hazipati hasara maana investment zao wanazikatia bima. Ila the more they win the better the reputation they gain. Forex is full of uncertainty and not understandable. And in order to succeed in business you need to understand what you are doing with your money. Hawa watu wanaotudanganya ni kwa sababu tunawekeza kwenye biashara ambayo haieleweki. Kama hauwezi kumuelezea mtoto wa miaka mitano biashara unavyotaka kuwekeza. Usiwekeze we hela yako bora ununue shamba ukipata idea nzuri ya biashara unachukua mkopo bank. Forex ilitajirisha watu miaka huo ya 80 na 70 ambapo trading ilikuwa inafanywa kwa simu. Na watu walikuwa na inside information. Now days ni chaka la kupiga hela kwa wachache.
 
Ndo maana zinatafuta matrader ambao wanaweza kutimiza kutopata loss zaidi ya 45 percent ya portfolio zao. Investment firms hazipati hasara maana investment zao wanazikatia bima. Ila the more they win the better the reputation they gain. Forex is full of uncertainty and not understandable. And in order to succeed in business you need to understand what you are doing with your money. Hawa watu wanaotudanganya ni kwa sababu tunawekeza kwenye biashara ambayo haieleweki. Kama hauwezi kumuelezea mtoto wa miaka mitano biashara unavyotaka kuwekeza. Usiwekeze we hela yako bora ununue shamba ukipata idea nzuri ya biashara unachukua mkopo bank. Forex ilitajirisha watu miaka huo ya 80 na 70 ambapo reading ilikuwa inafanywa kwa simu. Na watu walikuwa na inside information. Now days ni chaka la kupiga hela kwa wachache.
So hulipii ile fee fulan nimesahau jina lake, kule Uingereza naona wanalipa fee kabla hawajakupa pesa yao.
 
Forex imewadondosha wengi nnaowajua kama ilivyo network marketng. Hela za kudownload n hatari sana.
Aisee kipindi hiko bana
Ilikuwa hot humu ndani
Mi Kuna dada alinishawishi(nje ya jf)
Ila nilikataa kata kata,sbb nilikuwa nishawahi kuingia forever living huko nikaishia kupoteza Hela yangu tu🤣,,laki 7 those days ilikuwa nyingi mnooo nikaishia kutumia mwenyewe zile bidhaa😂
Ila kiukweli bidhaa zao ni nzuri sana,ni quality ndo maana ni gahrama,,iwe za ngozi , nywele etc...
 
Back
Top Bottom