Vigezo vya kukopa ni vipi?
branch wananidai huu mwaka wa pili sasa, kila siku vitisho wanapeleka jina langu TCRA nishitakiwe kama mhalifu wa kimtandaoHe! Vipi kuhusu Branch? Maana wananidai ila leo ni cku ya 2.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Moaka wanatumia namba za Kenya
vyuma mkuu vikibana huna optionKudai mtu hela halafu akawa anazingua huwa inaboa sana.
Binafsi sipendi kukopa ovyo ovyo, na nikikopa huwa narudisha mapema pindi nipatapo(sina historia ya kuzongwazongwa kwa kudaiwa deni)
Hapo labda uweke dhamana ya vitu vya 100m200m wana toa au wanatoa shingap
Ilipata accident labdaMi walinambia wameagiza difenda ije hadi nilipo nikamatwe ila nimesubiri zaid ya week 3 difenda sijaiona [emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa wana vitisho kama vyote vileOfcourse dawa ya deni kulipa tala hawanidai tena kazi nilyonayo hapa ya kupokea vitisho kutoka branch mara wata ntoa katika magazeti alooh nawalipa tuvumiliane hata buku pokeeni kwanza.
Utawalipaa lknNi app ipi nyingine naweza kopa ukiacha TALA na BRANCH?
Y not?Utawalipaa lkn
Ova
yule si mkurya ni mkisii anaigiza ukuryaTena usi ombe aku pigie yule mkurya wa kenya utapenda tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] any way walichoka adi leo nko na amani
UnawablockHao wana lugha nzuri... ukianza kudaiwa na branch kama hujzoea maneno ya vitisho unaweza kupata presha kwa sms zao