Usipende kununua magari yaliyotumika Tanzania

Nmenunua Gari ya Mtu mwaka wa 2 sasa hakuna cha usumbufu ni service za kawaida na huyo mtu simjui na anijui.
 
Pole san mkuu , Hawa jamaa sijui wanakuwag na viini macho unawez kukagua gari siku iyo nzima usione tatzo baada ya miez 2 had 3 unaon tatzo fulan , yaan dah
 
Hakika, kinachotakiw usinunue Gari kwa mzuka ptia ptia mdogo mdogo na dalali asikuendesh kwenye maamuz hapa watu wengi wanakosea wanunua gari kwa influence ya dalali sio mtaalamu
Same to me..nilinunua gari kwa mtu mpk leo ni mwaka wa pili haijawahi kunisumbua

Sema mkuu tupo kundi la wale wenye bahati[emoji23]
 
Brother gari kutoka Japan Hadi DAR ni mwezi mmoja na wiki 1 au 2..
Sasa shida iko wapi mpaka ushindwe kusubiri? Au wenzetu magari yako yanapitia Russia na Ukraine
 
Kiufupi sikuhizi ushuru ni uwezo wa kulinunua hilo gari mara 2! Kama bei ya kulifikisha bandarini ni 6M basi andaa 6M ingine ya wakulungwa pale TRA.
Ila wakulungwa wanazingua, wanataka pasu kwa pasu wakati hawajachangia hata kufunga boriti kwenye gari. Iko haja wareview tena makodi yao.
 
0
Nimeweka 60% sababu brand new car kodi yake ni pungufu chini ya 100%
Ila haiwi 60% kwa TRA naowajua mimi, lazma wafyeke 80
Ila wakulungwa wanazingua, wanataka pasu kwa pasu wakati hawajachangia hata kufunga boriti kwenye gari. Iko haja wareview tena makodi yao.
Wakulungwa wanayumba kweli yani 🤣🤣🤣
 
Boss, ww ni mgeni sana kwenye mambo ya magari.

Watu kama nyie ndo wezi tena wezi sana mnajifanya mnajua kuhusu kununua gar mtandaoni kumbe ni kuibia watu iyo BMW ata ukiweka galama zote bado itafika kwa million 14
Garama za usafirishaji na galama za kodi na kodi ya uchakavu ivo huwa vinajulikana ukiingia tu ktk kikootoo cha TRA garama zote zko wazi
 
Huyo nimemwambia ni mgeni sababu ya kuignore CIF na kuangalia cost tu kwenye matangazo yake aliyopost. Halafu ww inaonekana una stress za kuibiwa sana. Huenda wamekuibia mno. Pole.
 
Sina Ndoto ya kuaguza gari nje wala nini, yaani nina hela zangu mkononi halafu nianze kusubiri gari miezi, nikifa wkt gari ipo njiani je!? Haya tufanye imefika nimetoa mil20 zangu gari siku ya kwanza tu unaamka asbh unakuta wameiba taa, sijui power window nk, kuja kuirudishia tena iingie road gharama, ni heri ninunue mkononi za mil7 mwisho hata wakiiba watajijua, na mradi inatembea mkoa to mkoa
 
Hahaha ww sema haupo tayari kuspend 20m kwenye gari. Mambo ya kuibiwa insurance si zipo boss.
 
Ni kweli kabisa maana gari huwezi kupata history yake kama gari ulilonunua nje, hizi gari used za wabongo haziaminiki na hasa umkute dalali mjanja utapigwa polish mpaka utalainika na utalinunua gari ki ulaini ngoja ufike nyumbani inaanza na kutoa moshi kama treni
 
Mkuu ni kweli usemayo. Lakini tunanunua hapa bongo kwa sababu za kiuchumi. Hakuna mtu asietaka kumiliki litu kimeendeshwa na ngozi nyeupe.
 
Ilikuwa na shida gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…