LGE2024 Usipojiandikisha na usipopiga kura, hutakuwa na haki hata ya kusema nimeibiwa kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Nani kalalamika huna akili.

Wewe si ndio umeleta malalamiko yako ya kipuuzi humu kuwa watu wamekataa kujiandikisha katika huo ujinga wenu ?
Comment zako zote humu kuna either "huna akili " au "mpumbavu"
Hivi una tatizo gani? Msongi wa mawazo au? Kwanini huwezi kujibu tu kistaarabu bila ya kutaja matusi?
 
Ni upumbavu zaidi kuacha kushiriki
Kama mlitegemea watu wataendelea kushiriki chaguzi hizi za kihuni kwenye mazingira haya, basi mmeukalia. Kama ni kulalamika tumeshalalamika sana, kwa sasa enough is enough, dhalimu magufuli ndio alikuja kufunga kitabu cha kuendelea kushiriki chaguzi hizi kiini macho. Kiwango alichonajisi chaguzi hakijawahi kufikiwa.

Ni aidha machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi ili kupata mfumo mpya wa uchaguzi, chini ya tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Lakini kushiriki kwenye mazingira haya mtawapata mazombie tu.
 
Hizo njia sahau, tanzania ni salama kila upande sasa na hata milele
 
Narudia tena, mlipaswa kutoka kwa njia za kistaarabu ambazo ni box la kura lakini mkagoma, ifahamike ccm sio chama cha kizazi hiki, mmekuwa mnakaa madarakani kwa shuruti maana watu waliendelea kushiriki hizi chaguzi kiinimacho. Sasa acha watu wasijitokeze kushiriki ili mjue tumewachoka.

Nasisitiza kwakuwa mmegoma kutoka kwa njia za kistaarabu acha tusijitokeze kwenye hizo chaguzi za kishenzi, kitakachofuata ni machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi. Hapo ndio mtajua wakati wenu ulishapita muda mrefu.
 
Nyie jiandikisheni rukeni sarakasi zote sijui kulinda kura ila shughuli yote inamaliziwa....🐒👇

1000012666.jpg
 
Narudia tena, mlipaswa kutoka kwa njia za kistaarabu ambazo ni box la kura lakini mkagoma, ifahamike ccm sio chama cha kizazi hiki, mmekuwa mnakaa madarakani kwa shuruti maana watu waliendelea kushiriki hizi chaguzi kiinimacho. Sasa acha watu wasijitokeze kushiriki ili mjue tumewachoka.

Nasisitiza kwakuwa mmegoma kutoka kwa njia za kistaarabu acha tusijitokeze kwenye hizo chaguzi za kishenzi, kitakachofuata ni machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi. Hapo ndio mtajua wakati wenu ulishapita muda mrefu.
Narudia tena, machafuko na fujo sahauni kwa tanzania, labda huko mlipotokea pengine burundi, rwanda, kenya, drc nk nk

Tanzania ni salama leo na hata milele ameeeen
 
Kama mlitarajia watu wataendelea kuwa makondoo miaka yote huku mkichezea kura zao basi mmebug. Kwa kuanzia tumeacha kutokea kushiriki huo uchaguzi wa kipuuzi mnaotumia kuiba kura ili muendelee kukaa madarakani. Itafuata hatua nyingine ambapo mtajua hamna uhalali wa kukaa madarakani, hapo ndio mtafurahia show.
 
Back
Top Bottom