LGE2024 Usipojiandikisha na usipopiga kura, hutakuwa na haki hata ya kusema nimeibiwa kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Yaani hukujiandikisha na hukupiga kura halafu ulalamike umeibiwa, ukiulizwa unajibu umeibiwa kura,
Wakiitafuta hiyo kura yako hata hawaioni,

Tuacheni dharau, twendeni tujiandikishe ili tuwe na pa kuanzia, vinginevyo tukae kimya sasa na hata baada ya uchaguzi
Kwani kuna nini?

Raia wamegoma kujiandikisha au? Mbona kama mmepaniki!

Yaani hukujiandikisha na hukupiga kura halafu ulalamike umeibiwa, ukiulizwa unajibu umeibiwa kura,
Wakiitafuta hiyo kura yako hata hawaioni,

Tuacheni dharau, twendeni tujiandikishe ili tuwe na pa kuanzia, vinginevyo tukae kimya sasa na hata baada ya uchaguzi
 
Yaani hukujiandikisha na hukupiga kura halafu ulalamike umeibiwa, ukiulizwa unajibu umeibiwa kura,
Wakiitafuta hiyo kura yako hata hawaioni,

Tuacheni dharau, twendeni tujiandikishe ili tuwe na pa kuanzia, vinginevyo tukae kimya sasa na hata baada ya uchaguzi
sure,
ni muhimu sana kushiriki kujiandikshaji lakini pia na kupiga kura 🐒
 
kwani tulivyolalamika kuibiwa kura kwenye chaguzi za zamani ilisaidia nini?

Kitu gani kipya kitakuja tukilalamika kuibiwa kura this time around?

Hakuna haja ya kupoteza muda kushiriki chaguzi kanyaboya
 
Trump aliambukizwa huu ujinga wa kusema kaibiwa.Kabadilika anapambana.
Leo Mropokaji Lema kaenda kwenye kituo karibu na anapokaa kakuta wanafunzi wanajiandikisha kamuuliza mmoja "una miaka mingapi"?Kajibiwa 20 kaondoka bila kuaga.
 
Logically; kwanini upige kura itakayoibiwa?

NB: Nimejiandikisha na ninawahamasisha mjiandikishe na mshiriki kupiga kura.
 
No jiandikishe, na upige kura, ukiibiwa utaweza angalau kulalamika kwa kuwa ni kweli umeibiwa

Ila kulalamika na hujaibiwa kwa kuwa hukupiga kura haileti maana

Mosi. hatupigi kura huku tukiwa na matarajio ya haki ya kura kunyang'anywa na wanaoweza kuinyang'anya.
Kupiga kura huku unafahamu ya kwamba itanyang'anywa na wezi wa kura unamuwa mmoja ya watu walioweka wezi madarakani kwani watakauwa na kitu cha kunyang'anya toka sanduku la kura.

Pili, aliyepiga kura na asiyepiga kura wote wana haki sawa ya kuikosoa, kulalamika dhidi ya serikali kwa kuwa "serikali ni watu na taasisi ndani ya jamii hasa dola vyenye mamlaka ya kutawala na kufanya maazimio kwa wote katika eneo fulani pasipo kuzingatia itikadi wala ufuasi".
Ndio maana kuna msemo maarufu usemao, "wengi wape, wachache wasikilizwe", hii ni kuonesha misingi ya haki ya namna ya serikali inapaswa kuwaongoza watu wake.
 
Yaani hukujiandikisha na hukupiga kura halafu ulalamike umeibiwa, ukiulizwa unajibu umeibiwa kura,
Wakiitafuta hiyo kura yako hata hawaioni.

Tuacheni dharau, twendeni tujiandikishe ili tuwe na pa kuanzia, vinginevyo tukae kimya sasa na hata baada ya uchaguzi

Sisi hatulalamiki maana hatuna muda wa kushiriki huo ushenzi. Hapa tunaweka rekodi sawa kuwa kwa sasa Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura
🤣 🤣 🤣
 
No jiandikishe, na upige kura, ukiibiwa utaweza angalau kulalamika kwa kuwa ni kweli umeibiwa

Ila kulalamika na hujaibiwa kwa kuwa hukupiga kura haileti maana
Utaenda kulalamika wapi? Kwenye hizi mahakama ambazo zimeshindwa hata kutoa hukumu kuhusu kuzuia Tamisemi kusimamia uchaguzi huu?
 
Hatushiriki chaguzi za kipuuzi.
inafahamika wewe binafsi una shida za kiafya za kikatiba hivyo huna sifa na vigezo kushiriki zoezi hilo. wewe kaa nyumbani utulie ile wanastahili wafanye zoezi hilo muhimu zaidi la kizalendo 🐒
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Yaani hukujiandikisha na hukupiga kura halafu ulalamike umeibiwa, ukiulizwa unajibu umeibiwa kura,
Wakiitafuta hiyo kura yako hata hawaioni.

Tuacheni dharau, twendeni tujiandikishe ili tuwe na pa kuanzia, vinginevyo tukae kimya sasa na hata baada ya uchaguzi
Potelea pote
 
Back
Top Bottom