LGE2024 Usipojiandikisha na usipopiga kura, hutakuwa na haki hata ya kusema nimeibiwa kura

LGE2024 Usipojiandikisha na usipopiga kura, hutakuwa na haki hata ya kusema nimeibiwa kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
inafahamika wewe binafsi una shida za kiafya za kikatiba hivyo huna sifa na vigezo kushiriki zoezi hilo. wewe kaa nyumbani utulie ile wanastahili wafanye zoezi hilo muhimu zaidi la kizalendo 🐒
Hatushiriki upuuzi, fullstop.
 
Uchaguzi wenyewe ni kupoteza muda&fedha tu,
Huu uchaguzi ni miyeyusho jazz band tu,zugazuga Co Ltd

Ova
 
Yaani ukapige kure kwa chama kinaitwa chadema 🤣🤣🤣🤣 jina lenyewe tuu tells there is nothing good that can come out of that party
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Yaani hukujiandikisha na hukupiga kura halafu ulalamike umeibiwa, ukiulizwa unajibu umeibiwa kura,
Wakiitafuta hiyo kura yako hata hawaioni.

Tuacheni dharau, twendeni tujiandikishe ili tuwe na pa kuanzia, vinginevyo tukae kimya sasa na hata baada ya uchaguzi
Kwani jirani yangu akiibiwa mimi sina haki ya kupiga kelele za "mwizii mwizii mwizi huyoo! Mbona mwizi unaanza hofu ya kuitiwa mwizi ambayo ni sifa yako ya miaka na miaka. Hatujasahau mlivyompora Mrema dhidi ya Mkapa na kuufuta uchaguzi kinyume na sheria na katiba na kuugawanya kwa maeneo, mwisho mkaamua liwalo na liwe mkamtangaza Mkapa huku mwenyewe akiwashangaa.
 
Yaani hukujiandikisha na hukupiga kura halafu ulalamike umeibiwa, ukiulizwa unajibu umeibiwa kura,
Wakiitafuta hiyo kura yako hata hawaioni.

Tuacheni dharau, twendeni tujiandikishe ili tuwe na pa kuanzia, vinginevyo tukae kimya sasa na hata baada ya uchaguzi

Who cares? Hiyo Haki ya kusema itasaidia Nini?
 
Yaani hukujiandikisha na hukupiga kura halafu ulalamike umeibiwa, ukiulizwa unajibu umeibiwa kura,
Wakiitafuta hiyo kura yako hata hawaioni.

Tuacheni dharau, twendeni tujiandikishe ili tuwe na pa kuanzia, vinginevyo tukae kimya sasa na hata baada ya uchaguzi
Itakuwa kituko mtu alalamikie kitu ambacho hakushiriki kufanya jambo liwepo na kuonekana.Mambo ni mengi sana.
Kwa hiyo:-
-Huna haki ya kulia njaa kwa sababu haukula?
-Hayna haki ya kulia kwa sababu haujajipiga?
-Hauna haki ya kurudi kwa sababu haukupo kwenye orodha ya waliokwenda?-Hauna haki ya kulala kwa sababu haukutandika kitanda?
🤔🤔🤔🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yaani hukujiandikisha na hukupiga kura halafu ulalamike umeibiwa, ukiulizwa unajibu umeibiwa kura,
Wakiitafuta hiyo kura yako hata hawaioni.

Tuacheni dharau, twendeni tujiandikishe ili tuwe na pa kuanzia, vinginevyo tukae kimya sasa na hata baada ya uchaguzi
Shida ni kwamba wezi wanaiba kabla hujajiandikisha na kupiga kura. Mfano sasa hivi wanaandikisha watoto wa dhule under 18 Hii maana yake wameshaandaa ushindi kabla haujatangazwa kura yako wewe mwenye sifa wala haiihitaji. We unategemea mkwe amwangushe mzaa chema?
 
Nini kinafuata baada ya kuwa na haki ya kusema tumeibiwa kura?

Nadhani ni vyema mnaotuhamasisha mtupe uhakika kuwa, endapo ukitokea uhuni kuna jambo fulani litafanyika kuhakikisha tunakomesha mambo hayo. Kama hakuna, mnahamasisha watu wakajiongezee maumivu kwa kushinda juani kupiga kura kisha tuishie kwenye BUSINESS AS USUAL!
 
Back
Top Bottom