Usipokuwa makini unaweza kujikuta unamhonga mtu anayekuzidi kipato!

Lil Wayne " when I cum ,I come to my sense "

Hao vijana ndio wanapitia hio line ya Wayne
emoji1787.png
Wizzy huwa ana vimistari konki sana, nauheshimu mnoo huyu jamaa..
Kwenye no love kuna vimsitari.

Bitches try to kick me while am down, i will break your leg. 😂

I think about more than I forget
But I don't go around fire expecting not to sweat
 
Mke wangu aliniambia "hela ya mume tamu hata kama nina hela ila nikipokea hela ya mume najisikia amani sana"

Nikagundua mwanaume ni mwanaume tu hata kama mwanamke atakuwa na uwezo gani bado anagitaji huduma ya mwanaume, hata kama huwa anaenda kufanya shopping mliman city lakini ukimletea kigauni kizuri kutoka kariakooo ataona mliman city ni buree kabisa. Huduma ya mwanaume kwa mwanamke inamaana kubwa sana, acha wapambane tu maana hela ya mwanaume inaliwa na mwanamke kwa namna yoyote ile
 
Ivo yaan😘
 
Hivi sijui Kwa Nini huwa wanakaza fuvu tukisema hela ya mpenzi ni tamu,,yaani ukipewa Hela na mwanaume wako unapata hisia nzuri za kujaliwa,sio mwanaume unaona kabisa ana Hela halafu hataki kukuhudumia obvious Kuna mwenzio anahudumiwa
 
Hahaha ila kweli sasa hebu muelewesheni mleta mada kwamba mwanamke hata awe ana kipato cha 7m kwa mwezi na mwanaume ana kipato cha 700k kwa mwezi lazima ataombwa na kama ni mwanaume atatoa kwa moyo na hatopungukiwa. Sijawahi sikia mwanaume kafulia kisa kuhonga japo kuna muda tunacharara ila ikiwepo tufanya matendo ya huruma ni jadi ya mwanaume
Mke wako amepata/atapata mume wa baraka sana
 
Hahaha ila kweli sasa hebu muelewesheni mleta mada kwamba mwanamke hata awe ana kipato cha 7m kwa mwezi na mwanaume ana kipato cha 700k kwa mwezi lazima ataombwa na kama ni mwanaume atatoa kwa moyo na hatopungukiwa. Sijawahi sikia mwanaume kafulia kisa kuhonga japo kuna muda tunacharara ila ikiwepo tufanya matendo ya huruma ni jadi ya mwanaume
Wanaume zaidi ya asilimia 50 wamrshindwa kufikia malengo kwrnye maisha sio kwa sababu hawana vipato bali Kuhonga sana wanawake.

Wanaume wamepinda sababu ya kuhendekeza ngono.

Boda boda, Daladala wauza chips wana vipato vya kutosha tu. Shida yao honga honga........leta hoja nyingine.
 
Eleweka kwa sisi wanaume tukiamua kuhonga hatuangalii kipato tunatoa kwa moyo ww hueleweki uko kundi gani unalalamika kama mwanamke laafu unajifariji kama mwanaume
Endelea kuhonga wenzako wanakuona Mjinga tu we unadhani ni sifa
 
Back
Top Bottom