Usipokuwa makini unaweza kujikuta unamhonga mtu anayekuzidi kipato!

Usipokuwa makini unaweza kujikuta unamhonga mtu anayekuzidi kipato!

Wanaume zaidi ya asilimia 50 wamrshindwa kufikia malengo kwrnye maisha sio kwa sababu hawana vipato bali Kuhonga sana wanawake.

Wanaume wamepinda sababu ya kuhendekeza ngono.

Boda boda, Daladala wauza chips wana vipato vya kutosha tu. Shida yao honga honga........leta hoja nyingine.
Hii ni kweli, kama Bado kipato chako sio imara itabidi uwe makini sana na uhongaji
Mimi kipato changu kidogo huwa sihongi
 
Hii ni kweli, kama Bado kipato chako sio imara itabidi uwe makini sana na uhongaji
Mimi kipato changu kidogo huwa sihongi
Uko sahihi......Muuza Madafunanaingiza faida elfu kumi kwa siku. Videmu viwili tu vinamuomba elfu 2 ya vocha tayari ni elfu 4.

Akifanya matumizi yake ya siku habaki na kitu.

Huyu lazima umkute analalamikia serikali ya ccm kumbe yeye ndio chanzo cha maisha magumu.
 
Hivi sijui Kwa Nini huwa wanakaza fuvu tukisema hela ya mpenzi ni tamu,,yaani ukipewa Hela na mwanaume wako unapata hisia nzuri za kujaliwa,sio mwanaume unaona kabisa ana Hela halafu hataki kukuhudumia obvious Kuna mwenzio anahudumiwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kumbe Mimi si mpaka nilipopasuliwa ukweli halafu hela yenyewe tu elf kumi, saizi nampaga tu maana furaha ya mume ni kuona mke wake ana amani na furaha hata kama maisha magumu lakini mwanaume anawajibika kuhakikisha furaha na amani vinapatikana
 
Hakuna kitu cha raha kama mwanaume kuhonga ama kumuhudumia mwanamke wako . Inaleta heshima ya kiume mnooo pia inakufanya unakuwa mtawala , baba na mwenye maamuzi ya mwisho .
Tuwahonge wanawake zetu na kuwahudumia ipasavyo hutasikia mambo ya ufeminist kamwe.
Mimi Nikidate hata na mwanamke CEO mwenye hela zake nitamuhudumia na kumtunza bila kujalisha anazo hela ama hana .
 
Mke wangu aliniambia "hela ya mume tamu hata kama nina hela ila nikipokea hela ya mume najisikia amani sana"

Nikagundua mwanaume ni mwanaume tu hata kama mwanamke atakuwa na uwezo gani bado anagitaji huduma ya mwanaume, hata kama huwa anaenda kufanya shopping mliman city lakini ukimletea kigauni kizuri kutoka kariakooo ataona mliman city ni buree kabisa. Huduma ya mwanaume kwa mwanamke inamaana kubwa sana, acha wapambane tu maana hela ya mwanaume inaliwa na mwanamke kwa namna yoyote ile
Uzi ufungwe.
 
Wewe nani alikudanganya mwanamke huwa anamzidi mwanaume kipato[emoji15][emoji15][emoji15]

Hata kama una elfu tano yeye ana elfu hamsini bado umemzidi kipato.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka wallah
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kumbe Mimi si mpaka nilipopasuliwa ukweli halafu hela yenyewe tu elf kumi, saizi nampaga tu maana furaha ya mume ni kuona mke wake ana amani na furaha hata kama maisha magumu lakini mwanaume anawajibika kuhakikisha furaha na amani vinapatikana
Good,wewe ni mume unayejitambua sana,wenzio sijui wanadhani mpaka watoe mamilioni !
 
Mke wangu aliniambia "hela ya mume tamu hata kama nina hela ila nikipokea hela ya mume najisikia amani sana"

Nikagundua mwanaume ni mwanaume tu hata kama mwanamke atakuwa na uwezo gani bado anagitaji huduma ya mwanaume, hata kama huwa anaenda kufanya shopping mliman city lakini ukimletea kigauni kizuri kutoka kariakooo ataona mliman city ni buree kabisa. Huduma ya mwanaume kwa mwanamke inamaana kubwa sana, acha wapambane tu maana hela ya mwanaume inaliwa na mwanamke kwa namna yoyote ile
Kweli ndio Uchimbe Mawe mwenzako akalie Ice Cream Mlimani? Utakuwa huna akili.
 
Back
Top Bottom