Usipokuwa makini unaweza kujikuta unamhonga mtu anayekuzidi kipato!

Usipokuwa makini unaweza kujikuta unamhonga mtu anayekuzidi kipato!

Utajikuta Uzeeni unaanza kuomba msaada wa matibabu na hela ya kula kwa Watoto 🙌
Wengi ndio utakuta wanajidai kulaani watoto

Ukifatilia kwa undani yeye kila pesa anapelekea totozi anajifanya kidume
 
Wengi ndio utakuta wanajidai kulaani watoto

Ukifatilia kwa undani yeye kila pesa anapelekea totozi anajifanya kidume
😄😄😄 Akipata pesa ni yeye na pisi.
Wanawake wanafilisi kuoa tu ujajipanga utasema.
 
Kwenye nyanja za kupigana vibomu ambavyo kwakweli vinapendezesha mahusiano, unajua bila kuhonga wengine hatujisikii raha na huwa tunapenda watu wanaotuombe hela. Asikudanganye mtu bwana, ukiwa unamhonga anakuwa mtumwa wako.

Sasa bwana katika pita pita za hapa napale nikakutana na vijana wana hustle maisha. Wamepinda kinyama wanajituma ili kuhakikisha Uchumi wa kati unafikiwa. Pamoja na yote wanahonga sana na wanahonga kwa wanawake wanaowazidi vipato!

Yaani wewe unashindia wali maharage kila siku ila unayemuhonga yeye anakula BBQ, chips kuku, pilau na supu.

Sasa unawaza hawa vijana vipi? Wanajua lakini kinachoendelea? Anatokea mwanamke wako siku hizi za weekend anakupigia simu anakwambia nina shida ya laki na 30.

Kumbe wewe unahenya kuipata mwenzako anabeba mashoga zake wanaenda kupiga pombe huku wame-tune ile nyimbo ya "Enjoy" ya Jux maisha mafupi ni Simple ungana nami upoze koo.

Wakati huo wewe umekula maandazi na chai, sana sana plus maharage kwa mama ntilie hapo Gongo la Mboto na uchovu juu.

Wanawake kuweni na huruma basi.
Kuhonga ni ufala. Mwanaume kamili hupaswi kuhonga. Na ukiona mwanamke nakuomba hela juwa huyo mwanamke Hana mpango na wewe. Mwanamke ambaye anampa go na wewe hata akiwa na shida a naogopa kukwambia kuwa shida zake.
 
Mo anahonga 120k duuuuh na ma trillion aliyonayo asee ni haki yetu awe role model wetu.

Hivyo kama ni kuhonga inabidi iwe 0.05% ya mapato yetu.
Tena ile habari ni kama ilikuwa inamuhusu Mjane wa Mzee Machache ama Mobetto.

Imagine na urembo wao wote ule lakini Mo anawapiga kwa 120k alafu unakutana na mwajuma ndala ndefu huku Uswahilini eti ndiyo anataka umuhonge zaidi.

Useme hao mastaa watakachoambulia zaidi ni kuliwa kwenye 5star hotel basi lakini kama ni mpunga kiwango ni 120,000 tu 😁
 
Oi Mo si ameoa mzee au alikuwa na kamchepuko..
Kama Mfalme Suleiman pamoja na kuwa na wake warembo zaidi ya 700 lakini bado alikuwa na Masulia(Michepuko) 300 huyo Mo ndiyo ataweza kutulia na Mke mmoja? 😆
 
Sasa unawaza hawa vijana vipi? Wanajua lakini kinachoendelea? Anatokea mwanamke wako siku hizi za weekend anakupigia simu anakwambia nina shida ya laki na 30.

Kumbe wewe unahenya kuipata mwenzako anabeba mashoga zake wanaenda kupiga pombe huku wame-tune ile nyimbo ya "Enjoy" ya Jux maisha mafupi ni Simple ungana nami upoze koo.
Hizi aya imewavurugia watu kipato weekend hii
 
Tena ile habari ni kama ilikuwa inamuhusu Mjane wa Mzee Machache ama Mobetto.

Imagine na urembo wao wote ule lakini Mo anawapiga kwa 120k alafu unakutana na mwajuma ndala ndefu huku Uswahilini eti ndiyo anataka umuhonge zaidi.

Useme hao mastaa watakachoambulia zaidi ni kuliwa kwenye 5star hotel basi lakini kama ni mpunga kiwango ni 120,000 tu 😁
Hahaha......wao wanataka ngapi kwani? Ina TV ndani?
 
Wengi ndio utakuta wanajidai kulaani watoto

Ukifatilia kwa undani yeye kila pesa anapelekea totozi anajifanya kidume
Hatari sana Mkuu, mbaya zaidi kwa miaka ya hivi karibuni Watoto wengi wamepunguza kuwahudumia Wazee wao.

Ndiyo maana binafsi najitafutiza ili Uzee wangu nisije kuwa msumbufu kwa Watoto wangu.

Nataka mtoto akikwama kifedha, Mimi Baba yake ndiyo nimsaidie sio yeye aje anisaidie.

Msaada ambao naweza kuja kumuomba iwe kunipeleka Hospitali ama sehemu, maana Uzee una mambo mengi
 
We jamaa kama hutaki kero za kuombwa ela basi acha kutongoza tulia kimya ukiweza piga punyeto umalaya siku zote lazima utumie pesa
 
Back
Top Bottom