makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Wizzy huwa ana vimistari konki sana, nauheshimu mnoo huyu jamaa..Lil Wayne " when I cum ,I come to my sense "
Hao vijana ndio wanapitia hio line ya Wayne
Hivyo yaanEleweka kwa sisi wanaume tukiamua kuhonga hatuangalii kipato tunatoa kwa moyo ww hueleweki uko kundi gani unalalamika kama mwanamke laafu unajifariji kama mwanaume
Ivo yaan😘Mke wangu aliniambia "hela ya mume tamu hata kama nina hela ila nikipokea hela ya mume najisikia amani sana"
Nikagundua mwanaume ni mwanaume tu hata kama mwanamke atakuwa na uwezo gani bado anagitaji huduma ya mwanaume, hata kama huwa anaenda kufanya shopping mliman city lakini ukimletea kigauni kizuri kutoka kariakooo ataona mliman city ni buree kabisa. Huduma ya mwanaume kwa mwanamke inamaana kubwa sana, acha wapambane tu maana hela ya mwanaume inaliwa na mwanamke kwa namna yoyote ile
Hivi sijui Kwa Nini huwa wanakaza fuvu tukisema hela ya mpenzi ni tamu,,yaani ukipewa Hela na mwanaume wako unapata hisia nzuri za kujaliwa,sio mwanaume unaona kabisa ana Hela halafu hataki kukuhudumia obvious Kuna mwenzio anahudumiwaMke wangu aliniambia "hela ya mume tamu hata kama nina hela ila nikipokea hela ya mume najisikia amani sana"
Nikagundua mwanaume ni mwanaume tu hata kama mwanamke atakuwa na uwezo gani bado anagitaji huduma ya mwanaume, hata kama huwa anaenda kufanya shopping mliman city lakini ukimletea kigauni kizuri kutoka kariakooo ataona mliman city ni buree kabisa. Huduma ya mwanaume kwa mwanamke inamaana kubwa sana, acha wapambane tu maana hela ya mwanaume inaliwa na mwanamke kwa namna yoyote ile
Mwanaume kama wewe nitakukumbuka mpaka kwenye Sala yangu ya usikuEleweka kwa sisi wanaume tukiamua kuhonga hatuangalii kipato tunatoa kwa moyo ww hueleweki uko kundi gani unalalamika kama mwanamke laafu unajifariji kama mwanaume
My dear sio lazima aamue sa nyingine una Haki ya kumkumbusha wake,maana sisi ndio wasaidizi wakeMimi sio mnufaika rafiki ila kama mtu kaamua mwenyewe kutoa kwa mapenzi yake unadhani tutamfanyaje? Na ukiongea unaweza kuonekana huwatakii mema so ni kuwaacha tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kipenzi nimekupata [emoji8]My dear sio lazima aamue sa nyingine una Haki ya kumkumbusha wake,maana sisi ndio wasaidizi wake
Ajengewe sanamuMwanaume kama wewe nitakukumbuka mpaka kwenye Sala yangu ya usiku
Mke wako amepata/atapata mume wa baraka sanaHahaha ila kweli sasa hebu muelewesheni mleta mada kwamba mwanamke hata awe ana kipato cha 7m kwa mwezi na mwanaume ana kipato cha 700k kwa mwezi lazima ataombwa na kama ni mwanaume atatoa kwa moyo na hatopungukiwa. Sijawahi sikia mwanaume kafulia kisa kuhonga japo kuna muda tunacharara ila ikiwepo tufanya matendo ya huruma ni jadi ya mwanaume
Hakika!
😂 😂 😂 😂 😂Lil Wayne " when I cum ,I come to my sense "
Wanaume zaidi ya asilimia 50 wamrshindwa kufikia malengo kwrnye maisha sio kwa sababu hawana vipato bali Kuhonga sana wanawake.Hahaha ila kweli sasa hebu muelewesheni mleta mada kwamba mwanamke hata awe ana kipato cha 7m kwa mwezi na mwanaume ana kipato cha 700k kwa mwezi lazima ataombwa na kama ni mwanaume atatoa kwa moyo na hatopungukiwa. Sijawahi sikia mwanaume kafulia kisa kuhonga japo kuna muda tunacharara ila ikiwepo tufanya matendo ya huruma ni jadi ya mwanaume
Wanufaika mnateteaHakika!
Hehehenihonge tu mkuu..tumeumbiwa kupokea mkuu🥰
Hahahaha basi sawaWewe nani alikudanganya mwanamke huwa anamzidi mwanaume kipato😳😳😳
Hata kama una elfu tano yeye ana elfu hamsini bado umemzidi kipato.
Kazi kubwa sanaKazi IPO...
Endelea kuhonga wenzako wanakuona Mjinga tu we unadhani ni sifaEleweka kwa sisi wanaume tukiamua kuhonga hatuangalii kipato tunatoa kwa moyo ww hueleweki uko kundi gani unalalamika kama mwanamke laafu unajifariji kama mwanaume
[emoji23][emoji23][emoji23] Rafiki, ila mimi sijaona ubaya wowote mwanaume kumpa pesa mwanamke wake hata kama anazidiwa kipato kama unavyosema nachojua mapenzi ndio yanafanya watu wafike huko na si kwa ubaya.Wanufaika mnatetea