Usipokuwa makini unaweza kujikuta unamhonga mtu anayekuzidi kipato!

Hii ni kweli, kama Bado kipato chako sio imara itabidi uwe makini sana na uhongaji
Mimi kipato changu kidogo huwa sihongi
 
Hii ni kweli, kama Bado kipato chako sio imara itabidi uwe makini sana na uhongaji
Mimi kipato changu kidogo huwa sihongi
Uko sahihi......Muuza Madafunanaingiza faida elfu kumi kwa siku. Videmu viwili tu vinamuomba elfu 2 ya vocha tayari ni elfu 4.

Akifanya matumizi yake ya siku habaki na kitu.

Huyu lazima umkute analalamikia serikali ya ccm kumbe yeye ndio chanzo cha maisha magumu.
 
Hivi sijui Kwa Nini huwa wanakaza fuvu tukisema hela ya mpenzi ni tamu,,yaani ukipewa Hela na mwanaume wako unapata hisia nzuri za kujaliwa,sio mwanaume unaona kabisa ana Hela halafu hataki kukuhudumia obvious Kuna mwenzio anahudumiwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kumbe Mimi si mpaka nilipopasuliwa ukweli halafu hela yenyewe tu elf kumi, saizi nampaga tu maana furaha ya mume ni kuona mke wake ana amani na furaha hata kama maisha magumu lakini mwanaume anawajibika kuhakikisha furaha na amani vinapatikana
 
Hakuna kitu cha raha kama mwanaume kuhonga ama kumuhudumia mwanamke wako . Inaleta heshima ya kiume mnooo pia inakufanya unakuwa mtawala , baba na mwenye maamuzi ya mwisho .
Tuwahonge wanawake zetu na kuwahudumia ipasavyo hutasikia mambo ya ufeminist kamwe.
Mimi Nikidate hata na mwanamke CEO mwenye hela zake nitamuhudumia na kumtunza bila kujalisha anazo hela ama hana .
 
Uzi ufungwe.
 
Wewe nani alikudanganya mwanamke huwa anamzidi mwanaume kipato[emoji15][emoji15][emoji15]

Hata kama una elfu tano yeye ana elfu hamsini bado umemzidi kipato.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka wallah
 
Good,wewe ni mume unayejitambua sana,wenzio sijui wanadhani mpaka watoe mamilioni !
 
Kweli ndio Uchimbe Mawe mwenzako akalie Ice Cream Mlimani? Utakuwa huna akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…