Usipokuwa makini utajikuta unachangia harusi 5 hadi 6 kwa mwezi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Familia / kamati yako ilichangisha? Kama ndio wanaoku add kwenye hayo magroup maana yake walichangisha.
Jamani Pesa yote nilitoboka peke Angu, bajeti nilipanga Mimi maana nilikuwa kwenye kamati, in short nilichukua ka mkopo
 
Hizi mambo nishaona ni ujinga tu kuchangiana ...kuna bestfrnd wangu ana jambo lake next WK...aliwachangia jamaa flan iv last year..150k Cha ajabu aliwataarifu kuwa ana jambo lake....moja kqmtumia 10k na mwngine hakujibu hatq msg....hapa nmeapa sitomchqngia mtu yyte tena...yeye anataka akuvune afu kwako qnajikausha
 
Tatizo unaweza kuta uchumi mmbaya na anatakiwa kuchanga kama harusi 7 hivi, so hamna namna zaidi ya kuwapa ma 10
 
Watz ni wa hivyo sana....
Ni rahisi sana. Iko hivi, kama hujawahi kuomba mtu mchango, hakuna mtu anayestahili mchango wako. Hauna deni.

Maana yake mtu anapokuomba mchango, unaweza kumjibu direct kwamba 'samahani sitaweza' na yeye hawezi kuku press kwasababu hakudai - hujawahi kumchangisha.

Ukiwa na msimamo thabiti watu wataliona hili na wataacha kukusumbua. Binafsi kwa mwaka nachangia harusi za mtu mmoja au wawili - ambao ni ndugu nimekuwa nao na tumeshibana.

Sichangii sherehe ya ndugu wa ndugu, rafiki wa ndugu, ndugu wa rafiki na third parties nyingine kama hizi. Hata ndugu ambaye simfahamu (ndugu wa kuambiwa tu - sijawahi kuonana naye) sichangii.

Nimekuwa na msimamo katika hili kiasi cha kwamba siombwi michango wala siaddiwi kwenye magroup.

Ukisema 'hapana' za kutosha, watu wataacha kuomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…