Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,026
Hakuna kitu kinatisha kwenye historia na maisha yote ya binadamu kama vita, ukiingia kwenye vita ya mtu mmoja mkatwangana mangumi lazima kuna mmoja au wote mtatoka mmeumia. Kushinda ndani ya uwanja wa medani katikati ya mapigo ya moto sio hadithi ni kitu kinatisha sana.
Katika kitu kinanivutia ni uwezo wa medani wa jeshi la israel, hawaogopi kabisa kutoa mapigo na kusonga mbele ukiwaangali body language yao ni kama wapo kwenye sherehe kabisa. Si ajabu waliweza kukabiliana na maadui zake kwa kipindi chote walichovamiwa au kuchokozwa.
Watu wanaobeza uwezo wa hawa jamaa inawezekana hawataki kusoma au uwezo wao wa akili ni mdogo kuweza kupembua mambo. Sina imani kama kuna mtu yuko tayari kwenda front kukabiliana na israel, HAMAS walilianzisha mwisho wa siku wakakimbilia hospitali badala ya kuzichapa.