Kiranjajunior
Member
- Oct 10, 2023
- 96
- 152
Hivi we jamaa mbona mbona unafanya dini ya Allah idharaulike hivi na hata kama mtu alikuwa na mpango wa kujiunga nayo anahairisha kabisa kutokana na uwezo wenu wa akili kuwa mdogo.Kwani walikuwa wanajali kuhusu human shield? Si walikuwa wanashusha majengo yakiwa na raia. So hiyo haiwezi kuwa excuse. Mgambo wamewapa moto mwezi mzma.
Mtu anakuambia Simba ni hatari kuliko swala halafu unambishia?
Shame on you