King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,077
- 2,705
Yaani sadam Hussein aliyekua ananunua siraha asilimia 100 kutoka marekani na nchi za ulaya Kama France, uingereza na ujerumani ndio wakumlinganisha na Irani anayetumia wanasayansi wake wa ndani kutengeneza siraha zake za ndani.Hoja yangu ipo clear, najadili uwezo wa medani wa hawa watu, the have got unbreakable spirit against the threats or war itself. Uwezo wao sio wa kujadili maana historia iko wazi ukiingia nao front shughuli unayo. Kuhusu iran amekuwa overated sana angalau sadam hussein alikua mwanaume wa vitendo. Siwezi kulinganisha HAMAS na IDF itakua utoto ila wazuyuni tuwape maua yao they are fearless men of the world.
Hollywood movies zimeshawaharibu sana ngoja niishie hapa maana nishajua siasa za mashariki ya kati huzifahamu Vizuri.