Usipuuze uwezo wa Medani wa Jeshi na watu wa Israel

Usipuuze uwezo wa Medani wa Jeshi na watu wa Israel

Wewe jamaa uko emotional sana pengine una feel pity against HAMAS, huwezi kuwadharau HAMAS hata kidogo ni tactical group ukienda kichwakichwa unapigwa za uso, wametengeneza tunnel sio kwa bahata mbaya ni mbinu pia za medani. Achalia mbali idf kupiga majengo walipoingia gaza hawajadharau hata kidogo wameingia tactical group ila kujilinda na kujibu mapigo ya adui. Kuingia front na israel jipange sivyo wanaweza kukuautsmart ukajiona mjinga.
Lakini ni kundi la mgambo ambalo halina hata ndege wala kifaru. Hamasi ni mgambo ndivyo wanavyo kuwa addressed.
 
Umekata tamaa. Kwahiyo ile 7 Octoba walirusha makombora huku wakijua kwamba watauliwa wote?

Sasa ile Allah Akbar ilikuwa inatamkwa kwa sababu gani?
Walijua kuwa watashidwa, kwani ni mara ya kwanza kufanya hivyo. Lengo ilikuwa ni kuwatoa ngeu hao Israel na ndicho walichokifanya. Ni sawa na mfalme Leonidas alivyopigana na Tsetse alijua ile vita hawezi kuishinda lakini lengo ilikuwa ni kumtoa ngeu basi.
 
Ni rahisi kupigana na jeshi lililoapa kulinda raia wake; yaani Jeshi ambalo lipo mbele na nyuma yake kuna raia.

Hamas ni waoga kuliko raia, wanajificha nyuma ya watoto na kinamama. Kuwaangamiza wapumbavu kama hawa ni lazima uangamize pia raia ambao wamefanywa ngao yao.

IDF inajitahidi kupunguza madhara kwa raia, lazima muda mrefu utumike.

Najua haya yote unayajua ila yale mafundisho ya Kishetani mnayopewa kwamba ukifa unakwenda ahera kutunukiwa mabikra 72 ndiyo inayokupa moyo wa kuwa mpumbavu!!

Mfundisho ya hovyo kabisa, eti uue watu kisha ukaruhusiwe kufanya umalaya Ahera. Hovyo kabisa
Waoga walioanzisha vita? Unapigana na mgambo mwezi mzima unabadili masterplan baada ya kwanza kufail. Je, wangekuwa na zana na mandege si ingekuwa vita ya Ukraine. Mind you Hamas, si jeshi wala serikali ya Palestina bali ni wanamgambo tu.
 
Yeye na washirika wake wa kijeshi wanamchangia mgambo amefungwa mikono na miguu na ametumia zaidi ya mwezi kuna jeshi hapo? Je kama angepigana na mtu huru hajafungwa mikono wala miguu? Israel wana jeshi dhaifu
 
Hakuna kitu kigumu kama urban welfare ukienda kizembe unaweza kupata hasara kubwa sana, rejea misafara ya russia wakati wanaingia ukraine walichokutana nacho mpaka walivyobadili mbinu. Usije kupuuza uwezo wa hawa jamaa hata kidogo unless uwe na hasira za udini au chiku tu dhidi ya hawa watu. Middle east yote hakuna anaetamani kuingia nae front utapewa mapigo mpaka ujute. Kingine vita inakua ngumu kama adui atatumia human shield kama covering fire unaweza usitimize malengo kwa wakati.
Combat war kati ya Marekani na Iraq ilikuwa ndani ya siku 21 tu wamarekani wakawa wamefika Kila sehemu mpaka Saddam international airport mpaka ikulu na Saddam akawa amekimbia kujificha. Kilichofata ni wanajeshi wa Iraq kuvua gwanda na kuvaa kanzu zenye suicide belt ( mabomu ya kujitoa mhanga), road side bomb( mabomu ya kutegwa barabarani,hapa ndio Marekani alipoteza wanajeshi wengi mara tano zaidi ya wale waliokufa kwenye combat war. Wanaohoji Israel kutumia mda mrefu kwenye vita na Hamas wanakosea kwa sababu Hamas hawana miundo mbinu ya wazi ya kijeshi wala Kambi za kijeshi angetaka kumalizia vita kwa siku moja tu( 24 hours) angeweza ila dunia nzima ingehamia Israel kupiga mayowe
 
Yeye na washirika wake wa kijeshi wanamchangia mgambo amefungwa mikono na miguu na ametumia zaidi ya mwezi kuna jeshi hapo? Je kama angepigana na mtu huru hajafungwa mikono wala miguu? Israel wana jeshi dhaifu
Tafakali ya kwa nn Israel anachukua mda kufikia malengo kwenye hii vita haihitaji mtu uwe na degree. Wewe jaribu kuwa na neutral mind( fikra huru) utapata jawabu...acha pemben makando kando yoteeee uliyonayo dhidi ya Waisrael
 
Wanajeshi la kawaida nafikiri ndio maana hata top ranking hawawekwi na vyanzo mbalimbali
 
Tafakali ya kwa nn Israel anachukua mda kufikia malengo kwenye hii vita haihitaji mtu uwe na degree. Wewe jaribu kuwa na neutral mind( fikra huru) utapata jawabu...acha makando kando yoteeee uliyonayo dhidi ya Waisrael
Sawa mzee wa degree. Mwezi mzima unaoigana na mtu kafungwa mikono na miguu upo na washirika wako
 
Sawa mzee wa degree. Mwezi mzima unaoigana na mtu kafungwa mikono na miguu upo na washirika wako
Hamas hawana kifaru wala fighter jets wala anti missile defense system unazani kwa nn vita imechukua zaidi ya mwezi? Tafakali jombaa
 
Back
Top Bottom