Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
Kwa mwenye akili, hamas peke yao hawawezi kuthubutu kuanzisha ugomvi na IDF. Semeni nchi za kiarabu ziliitumia hamas kulianzisha.Ilikuwa ni obvious kuwa mshindi mwisho atakuwa nani. Mgambo tangu lini akalishinda jeshi lenye silaha zote na backup yote. Hilo halishangazi , jambo ambalo lingeshangaza ni mgambo kulishinda jeshi. Hili pia linaloshangaza ni jeshi kupambana na mgambo mwezi mzima halafu bado liendelee kusifiwa kuwa ni jesho bora.
Moto ulipowaka wameiuzia hamas kesi wakakaa pembeni.
Waarabu tambueni kuwa Israel ni level nyingine.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app