Usipuuze uwezo wa Medani wa Jeshi na watu wa Israel

Kwa mwenye akili, hamas peke yao hawawezi kuthubutu kuanzisha ugomvi na IDF. Semeni nchi za kiarabu ziliitumia hamas kulianzisha.

Moto ulipowaka wameiuzia hamas kesi wakakaa pembeni.

Waarabu tambueni kuwa Israel ni level nyingine.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Sasa ilikuwaje Adolf Hitler akawaua namna ile!
 
Hamas ni migambo tu, hata kifaru au ndege za kivita hawana, hata wenyewe walijua hii vita hawawezi kushinda.
 
Nchi gani mkuu, mbona hawakuwapa silaha za kivita, wala ndege wala vifaru
 
Unaweza vip kulinganisha kundi la hamasi lisilokuwa jeshi kamili na lenye siraha za kawaida na viroketi huku wamewekewa blocked. Tofauti na wayahudi feki wa kizungu wanaotumia teknolojia kubwa ya kijeshi huku wakipewa sapoti kwa Kodi za wamarekani.

Ilinganishe Israeli na Irani hapo utakua umetenda haki.
 
Ziliwatuma halafu zikawanyima silaha. Nchi za kiarabu wenyewe wanafiki wangekuwa wamoja mbona wangesumbua sana ndio maana hata juzi wameshindwa kufikia makubaliano. Hamas kalianzisha mwenyewe and mind you hamas si jeshi la palestina wala serikali ya palestina. serikali ya palestina iko hoii hata haina nguvu
 
Una hoja nzuri lakini umeharibu kuchanganya na hasira zako against a certain religious doctrine please usifanye hivyo tujadili uwezo wa kupeana mapigo kwenye uwanja wa kupimana uwezo
 
Israel hawana lolote ila ni Masters wa Propaganda tu. Hata ile operation Entebbe walipigwa tag na USA. Ni weupe sana
Unapaswa kuwa rational kuweza kuona au kujadili juu ya uwezo wa medani wa jeshi flani masalani the bravest IDF. Propaganda ni silaha muhimu sana kama unataka kupata morale victory na kumchanganya adui akuogope au kukimbia kabisa nje ya uwanja wa mapigo. Ukiona jeshi lolote la nchi limeshinda vita ujue basi sector ya propaganda imework vizuri. Utayachukia tu lakini majamaa sio maoga, yanasonga mbele sio mchezo.
 
Kabla ya kuingia gaza Israel walikuwa wanajua hamasi wa mtandao wa mahandaki. Kwanini hawakuwqfuata huko huko chini wakawapiga kama kweli wanauwezo huo unao wasifia.

Wamekaa kupiga mabomu na kuuwa watu wasio kuwa na hatia.
 
Hamas hawana kifaru wala fighter jets wala anti missile defense system unazani kwa nn vita imechukua zaidi ya mwezi? Tafakali jombaa
IDF walishafanya kila kitu, encirclement, cutt of supply ila kinachoonekana israel wakataka kuliangamiza kabisa hili kundi na facilities zake. Ukisema kwanini wetumia muda mrefu unataka wafanye miujiza maana operation ina changamoto zake hasa pale adui anapojichanganya na raia
 
Mimi niko upande wako unless hukunielewa. Nilikuwa najaribu kumuuliza/ kumuelewesha mtu mmoja hapo juu anaye hoji credibility ya IDF
 
Hao Hamas wamejificha kwenye mahandaki hawataki kutoka wapigane ana kwa ana.
Halafu unakuja kujitapa Hamas wanaweza kupigana vita. Watu wamefuatwa mpk kwao, angalia nyumba zao yamebaki magofu.
Wakisema Israel ipige mabomu sehemu yote bila kujali kuna raia mnaanza kuandamana na shekh wenu Ponda.
Hamas wanaogopa kufa na wapo kwenye mashimo km panya, wameshazoea kuvizia wananchi na kuua ila likija suala la vita wanakimbilia kwenye mashimo kujificha.
 
Hoja yangu ipo clear, najadili uwezo wa medani wa hawa watu, the have got unbreakable spirit against the threats or war itself. Uwezo wao sio wa kujadili maana historia iko wazi ukiingia nao front shughuli unayo. Kuhusu iran amekuwa overated sana angalau sadam hussein alikua mwanaume wa vitendo. Siwezi kulinganisha HAMAS na IDF itakua utoto ila wazuyuni tuwape maua yao they are fearless men of the world.
 
Kingine hao Hamas wamejificha kwenye mashimo hawataki kutoka.
Vita ilipotangazwa nilitegemea Hamas watakuwa mpakani kuwakabili Israel wasiingie kwenye mji wao lkn wote wakaingia kwenye mashimo.
Utawapata wapi lazima operation ichukue muda.
Kumtafuta panya buku aliyeopo shimoni lazima ichukue muda.
 
Inaitwa gorilla tactics unataka wapigane na f15 na vifaru wakati wao hawana. Hizo mbinu za kivietnam
 
Nyinyi tz si mliishinda Uganda mwaka 1978?, Hebu jaribuni kuiparamia Uganda sasa hivi mkione cha mtema kuni.
 
Hamas hawana kifaru wala fighter jets wala anti missile defense system unazani kwa nn vita imechukua zaidi ya mwezi? Tafakali jombaa
Unawezaje kumkamata panya buku aliyejificha shimoni kwa muda mfupi?
Hamas wapo shimoni hawataki kutoka wakitegemea raia ndiyo wapambane na kingine wanajichanya kwa raia ili wasionekane.
Mfano wakitumia njia ya Octoba 7 waliotumia wapalestina unafikiri kuna raia atabaki hapo Gaza?
 
Maneno yako uliyo yaandika yamaonesha kuwa umejaa mavi kichwani badala ya ubongo, hapa hakukuwa na haja ya kuanza kukashifu dini ya watu kwa sababu mtoa mada hakuna sehemu alipo taja dini hapa.

Alafu hoja ya Hamas kujificha nyuma ya raia umesha kufa tangu juzi baada ya Israel kwenda kwenye hospital mliyo kuwa mna dai kuwa ni makao makuu ya Hamas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…