Usipuuze uwezo wa Medani wa Jeshi na watu wa Israel

Yaani sadam Hussein aliyekua ananunua siraha asilimia 100 kutoka marekani na nchi za ulaya Kama France, uingereza na ujerumani ndio wakumlinganisha na Irani anayetumia wanasayansi wake wa ndani kutengeneza siraha zake za ndani.

Hollywood movies zimeshawaharibu sana ngoja niishie hapa maana nishajua siasa za mashariki ya kati huzifahamu Vizuri.
 
Yes kwa Propaganda Israel wapo njema sana.
 
Kumbe Israel ile ni nchi yao ila walikuwa wananyang'anywa, sasa mbona Wapalestina wanadai ardhi hiyo ni yao, na Israel kazawadiwa hapa tu karibuni na mwingreza mwaka 1948? Na ndicho wanachokipigania?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ni issue nyingine.

Wewe umeleta thread hapa ukisifia ukakamavu wa israel kwamba ina jeshi bora sana ambalo maybe haliwezi kupigwa duniani.

Na mimi nikakujibu kwa upande huo ulio uliza wewe, sasa nashangaa umeruka tena ukaja kwenye umiliki wa nchi.

Any way, Kwa hadithi za kibiblia Israel ina haki ya umiliki wa hiyo ardhi, lakini kisiasa za dunia Israel haina umiliki pale ile ni ardhi ya palestina waliyo ipora tarehe 14 May, 1948.

Lakini nikuulize wewe la ufahamu :

Mfano nichukulie kabila la WANGONI walioko Songea leo ambao asili yao walitokea Africa Kusini, na kwa sasa washa ishi tanzania kwa ma miaka.

Hivi hawa wangoni leo wakiamua wakarudi south Africa na kuwaambia wazulu hapa ilikuwa ni kwetu hivyo nyie mtuachie Ardhi yetu unadhani wazulu watakubali ?

Yaani Muyahudi ameondoka kwao ameishi kwingine kwa miaka karibu 2000 alafu anakuja kurudi kuwaambia waarabu kuwa hapa palikuwa ni kwetu, ni mwehu tu ndiye anaweza kukuelewa na ndiyo hao mnao shabikia uhalifu wa israel leo hii.
 
Mgambo tu wasiokuwa na tech yoyote ya vita waliowekew vizuizin ndo wachangiww na marekani na uingereza ww unaona ni sawa
 
Israel ina uwezo wa kawaida kama mataifa mengine mambo mengine mna ikuza tu.
Ukiitoa hiyo tech ya drone aliyoitumia kuvunja magorofa na hivyo hovyo wanakitu gani cha ziada hamasi wangekuwa na uwezo japo kwa asilimia 10 ya walio nao Israeli maisha si yangekuww maguma sana
 
Yaani wote wakawa wagonjwa vitandani hahahaaa
 
Na backup ya majeneral wa marekani na masaada wa 10b usd
 
Ukiitoa hiyo tech ya drone aliyoitumia kuvunja magorofa na hivyo hovyo wanakitu gani cha ziada hamasi wangekuwa na uwezo japo kwa asilimia 10 ya walio nao Israeli maisha si yangekuww maguma sana
Ulitaka watumie mawe! Hawana mawe na hizo silaha lazima wazitumie
 
Acha ubwege wewe Hamas hayupo tena ni Panya tu.
Hao wako safarini Iran na Lebanon.
Kaa hapo uisome
 
Hamas hawana kifaru wala fighter jets wala anti missile defense system unazani kwa nn vita imechukua zaidi ya mwezi? Tafakali jombaa
Hiyo gaza si ni kama sehema yake maana arakuwa anaijua kigeographia. Je engekuwa anapigana na nchi asiyoifaham mikapaka yake , yaana ni kama sis Tanzania ipambane na wanamgambo kutoka rukwa
 
Ndio maana anarusha tu drone kwenda kubomoa kwa kuwa wanajua hata ikipita hapo juu ya bati hamna mwenye uwezo wa kuishusha
 
Mbona walikuwa wwna wanarusha mabom hovyo hovyo mpaka wanawaua wfanyakazi wa UN
 
Una uwezo mdogo wa kufikiri kama walio kuzaa maana wange kuwa wanaona mbali wangetakiwa kukumwagia nje.
Kwa kuwa waliokuzaa wanauwezo mdogo wa kufikiri na uliwasikia wakisema bora wangekumwagia nje basi unamwambia kila mtu kwa kuwa waliokuzaa walikuambia hivyo
Ona uwezo wako mdogo wa kufiri na waliokuazaa
  • Mnatumia milion 5 kuwapelekea waarabu Macca watajirike ili umponde jiwe shetani. Unaweza kumponda jiwe shetani? Wenye uwezo mdogo ndiyo wanamponda jiwe shetani
  • Mnaamini huko akhera allah atawapa mabira 72 na mito ya pombe. Wanawake watepewa nini au aliyekuzaa naye atakuwa miongoni mwa mabikra 72?
Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72; Pokea Bikra 72 kwa jina allah

- Mnaamini allah aliyesema jua linazama kwenye matope.
Hapo ulipo ni mtumwa wa maarabu ila kwakuwa una uwezo mdogo wa kifikiri hutambui hili. Kasome Zanzibar revolution inahusu nini
Akhera wanazungumza kiarabu kwahiyo weka bidii kujifunza kiarabu utashindwa kusoma Quran maana kule wanazungumza lugha moja ya kiarabu na utaswali kwa kiarabu maana allah anasikia lugha moja tu
 
Israel ina uwezo wa kawaida kama mataifa mengine mambo mengine mna ikuza tu.
Sio kweli kabisa, ingekuwa hivyo basi sasa hivi isingekuwepo hapo ilipo. Israel is another force and if you don't believe ask the Arab Countries.
 
Hamas hawana kifaru wala fighter jets wala anti missile defense system unazani kwa nn vita imechukua zaidi ya mwezi? Tafakali jombaa
Angejua hana hizo silaha asingeenda ile tarehe 07/10/2023 kwenda kumvamia mwenye hizo silaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…