Usisome kozi ya clinical medicine (clinical officer) kabla ya kusoma thread hii

Sio kweli, kwanza guide book inataka 3.0 tu, pili ufaulu unategemea na chuo usikariri vipo vyuo wa mwisho utakuta ana 3.8, hivyo kwenye udahili kuna ushindani mkubwa.
Pili hiyo siyo sababu ya wao kukosa mikopo, serikali wamechukua tu zile kozi zenye watu wachache tu, basi.
 
Bro guide book ya zamani hiyo.
Hivi hujui kama mambo yamebadilika hadi mtaala umebadilika CMT!?
Module zimebadilika hadi GPA nazo zimebadilika,ukitaka kwenda kusoma MD kutokea CMT anzia 3.5 mzee,huwezi tulia paleee.
Nipo katika hiyo field bro nafundisha ndio maana nakwambia.
Hivyo vyuo wa mwisho CMT anapata 3.8 huwenda vipo ila sina uhakika.
Weeeeh yani wa mwisho apate 3.8 CMT!?
Serikali haikuangalia hilo tu nilienda bodi ya mikopo pale Sokoni/TAZARA kuna kiongozi nilikutana nae alinijibu short and clear CMT failure wengi serikali haiwezi poteza pesa huko.
 
Module zimebadilika hadi GPA nazo zimebadilika,ukitaka kwenda kusoma MD kutokea CMT anzia 3.5 mzee,huwezi tulia paleee.
Duh kumbr MD lazima uwe na kuanzia na gpa ya 3.5 ?
Unaweza kunisaidia kupsta muongozo ambao una mabadiliko hayo mkuu kama hautojali.

Na je mtu wa C.O anayeenda degree ya md anaweza kupata mkopo wa serikali kusomea MD ?.
 
Mzee unabisha kwa confidence sana, sasa kama mwalimu ndio wewe ni mtihani huu.
Mimi nimeleta ushahidi wa guide book ya 23/24.

Labda chuo chenu tu ndio mnakaza, lakini vyuo vingine ni GPA za tano kibao tu, hapo ushindani ndio unaanzia, lkn still guidebook inaruhusu bora ukasome nje maana vyuo vya ada kama ya bugando na kairuki nje unapata.
 

Attachments

  • Screenshot_20240429-133442.png
    680.9 KB · Views: 56
  • Screenshot_20240429-133401.png
    497.2 KB · Views: 52
  • Screenshot_20240429-125758.png
    379.9 KB · Views: 37
  • Screenshot_20240429-125829.png
    741.4 KB · Views: 42
  • Screenshot_20240429-125856.png
    675.4 KB · Views: 51
E
mtoa mada ebu jarib kuelezea hii link hii ishu unaionaje
Kwanini Serikali haiajiri Madaktari (MD) wakati kuna upungufu mkubwa, inaajiri CO (Clinical Officers) na manesi?
 
Duh kumbr MD lazima uwe na kuanzia na gpa ya 3.5 ?
Unaweza kunisaidia kupsta muongozo ambao una mabadiliko hayo mkuu kama hautojali.

Na je mtu wa C.O anayeenda degree ya md anaweza kupata mkopo wa serikali kusomea MD ?.
Jamani ingia Website ya TCU utapata guidebook ya mwaka 2023/24 for equivalent ... Gpa ya kusoma MD ni 3.0 na mkopo unapata ila kwa vigezo ulivyonavyo wengine wanapata asilimia 100% wengine wanapata boom peke ake mm nnao ushahid wapo niliosoma nao CMT wapo MD 3rd year na wengi wana mkopo
 
Guidebook 2023/24 GPA ni 3.0 na kuendelea

Chuo nilichosoma mtu wa mwisho alkua na gpa ya 3.6 kwa tulioanza nao level 4. ila wale waliokuja ku upgrade ndo kuna mmoja alipata 3.0 ambae huyu kuna module arirudia na alkua peke ake aliefeli na mwingine 3.5 na walio pata gpa chini ya 4.0 walkua sita tu kati ya wahitim 62 (but this was 2019)
 
Ndio watu wasome na hawawez acha kusoma .. nasema tena ni kama walimu wa arts ambao wa2 wanasema haina ajira lkn watu wanasoma hvohvo ...

Watu wasome kupata maarifa ila wapunguze expectations kubwa za ajira ... Ajira ni majaaliwah
 
Kuna vitu vingi ume exagerate sana. Pekundu si sahihi
 
Kuna vitu vingi ume exagerate sana. Pekundu si sahihi
Wewe ukiwa na GPA ya 5.0 na mwenzako ana GPA ya 5.0 na kuna nafasi moja wanarudi nyuma kaungalia nani alifauru vizuri kidato cha nne.

Ila ww ukiwa na GPA ya 5.0 na una four ya 26 kidato cha nne .. na mwenzio ana GPA YA 4.6 na ana one ya 7 kidato cha nne .. ww mwenye GPA ya 5.0 utapata nafasi.

Niliiweka hyo kipengele kwa sababu saiz watu wanafanana sana GPA lkn pia hata guidebook inasema:

"Diploma in clinical medicine with GPA of 3.0 and above plus candidate must have a pass in the followings subjects mathematics physics chemistry biology and english"....... (kuna vyuo hata uwe na gpa ya 5 na ulkua na F ya mathematics hawakuchukui)

Au

"Diploma in clinical medicine with GPA of 3.0 and above plus candidate must have a pass in five non religious subjects"

kwahyo kidato cha nne "Diploma in clinical medicine with GPA of 3.0 and above plus candidate must have a pass in the followings subjects mathematics physics chemistry biology and english" good role kuchaguliwa
 
Neno ni kufaulu! Usiwe unaongea vitu hujui, katika maisha yako ongea kitu unajua. JF kuna watu wana uzoefu wa kusimamia si kuwa mwanafunzi
 
Neno ni kufaulu! Usiwe unaongea vitu hujui, katika maisha yako ongea kitu unajua. JF kuna watu wana uzoefu wa kusimamia si kuwa mwanafunzi
Alafa usijibu kwa mihemko njoo na facts kusimamia unaweza usimamie na usijue mambo ...kuna mwenzio na ni msimamizi alkua anasema kuingia MD ni GPA ya 3.5 wakati guidebook inasema 3.0 .. kooh unaweza ukasimamia na ukawa outdated

Sizani kama unaelewa mzee nnachokimaanisaha .. swala la kidato cha nne kuhusishwa linarudi kwenye competition ya kuingia chuo kikuu..

nkuulzie swali ww mzoefu wa kusimamia


Tuseme ww ni admission officer wa chuo x kinachotoa MD .. kuna nafasi 5 za MD kwa ajir ya CO.

Walioomba ni 10 na wote wana GPA za 5 utatumia kigezi gani kuchagua watano kati ya 10 ikiwa wote GPA ni 5 watakao jiunga na chuo chako?
 
Toa maoni yako kuhusiana na hio document
 

Attachments

Toa maoni yako kuhusiana na hio document
Ukiisoma hyo document kwenye kipengele cha addo dispenser wameandika

(The potential ADDO dispenser will have to attend and successfully complete special training to dispense in an ADDO)

Kwa bahati mbaya hii Addo training imefungwa na haitolewi tena kwaio wale ambao walisoma addo huko nyuma wao wanaruhusiwa kudispense dawa ila ambae hana addo hawez tena kuuza dawa labda afanye kimagendo.
 
Sina maoni juu MDs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…