Hapana! Uzi huu unatoa mwanga kwa kijana na wazazi wasioijua hii kozi, hali ya soko lake ktk ajira, kuendelea na masomo-mfano MD n.k.Mkuu huu uzi umekaa kukatisha tamaa sanaa
Au kama addo bado inatolewa tunaomba utujuze chuo ambacho kinatoa kwa sasa maana hata mm nataka kusoma addo. Na huwa nna regret kwann sikusoma.
Na sababu kubwa sio addo kukosa ubora ila ni wingi wa pharmacy technician ana dispenser (level 4) wanaohitim kwa sasa hakuna upunguf.
Na kwenye upnde wa pharmacy hata mtu anaishia level 4 & 5 anaweza kudispense dawa ndo mana addo ikafutwa
Una lengo la kusom kwel au unapeleleza?Wamesema hawatoi hyo kozi.. hilo tangazo la zaman wanasema website haija updatiwa... Wapigie
Imagine huyo ndiye mwalimu, sijui anafundisha nini huko chuoni kwao, anaona sifa kusema wengi wanaishia 3.0, kuna vyuo hawa wasimamizi ni makatili kweli wanaminya hizo GPA kishenziGuidebook 2023/24 GPA ni 3.0 na kuendelea
Chuo nilichosoma mtu wa mwisho alkua na gpa ya 3.6 kwa tulioanza nao level 4. ila wale waliokuja ku upgrade ndo kuna mmoja alipata 3.0 ambae huyu kuna module arirudia na alkua peke ake aliefeli na mwingine 3.5 na walio pata gpa chini ya 4.0 walkua sita tu kati ya wahitim 62 (but this was 2019)
Kama amesoma diploma kwa makerere lazima awe na cheti cha form four na form six,,,kama hakwenda ga form six makerere hawatamchagua,, lakini kwa mwaka huu hawez omba makerere pia maana application zishaishaKafaulu diploma
Mkuu hiyo ilikua zamani,siku hizi kufaulu hiyo kozi sio ngumu hasa private ndo maana tunakutana na watoto wa private asilimia kubwa wana GPA kali ila hawana content kichwani. So alichoongea mdau hapo ni kitu ambacho kipo kwa sasa.Unavyosema bro kama vile hao wanafunzi 4100 wanahitimu kweli.
Katika wanafunzi wanaodahiliwa nusu ya wanafunzi hufeli kuendelea kimasomo kwasababu kuu mbili eidha ada ama kufeli.
Asikudanganye mtu kuwa eti kisa umeenda jiandikisha CMT basi shwaa miaka mitatu umemaliza.
Na hiyo kujiunga bachelor ya MD lazima ufikie GPA ya 3.5.
Usidhani ni rahisi mwaka wa tatu ufikishe GPA ya 3.5,wengi huishia 2.5-3.0.
Wanaofikisha 3.5 kwenda juu huwa wachache sana.
Ndio maana hata serikali sababu moja wapo iliofanya kozi ya CMT kutokuwepo kwenye orodha ya kozi za kupewa mikopo ya vyuo vya kati kwasababu wanafunzi wa CMT wanaongoza kufeli kuliko kozi yeyote ile.
Mkuu acha ubishi ,nakupa mfano mwaka 2021 chuo cha Lugalo wa mwisho alikua na 4.3 GPA unasemaje hapo?. Siku hizi Clinical medicine ina mazingira wezeshi sana watu kutoboa kuna mambo mengi mwanafunzi ashindwe mwenyewe ni kama unavyona form 4 ya sasa ilivyo rahisi kufaulu. Tunakubali wanaofeli wapo ila kwa rate ndogo sana.Bro guide book ya zamani hiyo.
Hivi hujui kama mambo yamebadilika hadi mtaala umebadilika CMT!?
Module zimebadilika hadi GPA nazo zimebadilika,ukitaka kwenda kusoma MD kutokea CMT anzia 3.5 mzee,huwezi tulia paleee.
Nipo katika hiyo field bro nafundisha ndio maana nakwambia.
Hivyo vyuo wa mwisho CMT anapata 3.8 huwenda vipo ila sina uhakika.
Weeeeh yani wa mwisho apate 3.8 CMT!?
Serikali haikuangalia hilo tu nilienda bodi ya mikopo pale Sokoni/TAZARA kuna kiongozi nilikutana nae alinijibu short and clear CMT failure wengi serikali haiwezi poteza pesa huko.
Mtaala pia wa sasa ni rahisi ,masomo korofi kwa semista ya kwanza yametolewa(Health policy & Family medicine) na pia semista ya pili wamebakishiwa manne tu badala ya matano Forensic somi rahisi limepelekwa semista ya kwanza. Kumbuka semista ya kwanza watu ndo wanatengeneza GPA ya semista ya pili kwasababu ni semista ya chuo hivyo fea kubwa hasa vyuo vya private.Unavyosema bro kama vile hao wanafunzi 4100 wanahitimu kweli.
Katika wanafunzi wanaodahiliwa nusu ya wanafunzi hufeli kuendelea kimasomo kwasababu kuu mbili eidha ada ama kufeli.
Asikudanganye mtu kuwa eti kisa umeenda jiandikisha CMT basi shwaa miaka mitatu umemaliza.
Na hiyo kujiunga bachelor ya MD lazima ufikie GPA ya 3.5.
Usidhani ni rahisi mwaka wa tatu ufikishe GPA ya 3.5,wengi huishia 2.5-3.0.
Wanaofikisha 3.5 kwenda juu huwa wachache sana.
Ndio maana hata serikali sababu moja wapo iliofanya kozi ya CMT kutokuwepo kwenye orodha ya kozi za kupewa mikopo ya vyuo vya kati kwasababu wanafunzi wa CMT wanaongoza kufeli kuliko kozi yeyote ile.
Nimempa mfano wa Lugalo mwaka 2019 wa mwisho alikua na 4.3 ajue tu siku hizi watu wanafaulu mazingira wezeshi mengi sana.Guidebook 2023/24 GPA ni 3.0 na kuendelea
Chuo nilichosoma mtu wa mwisho alkua na gpa ya 3.6 kwa tulioanza nao level 4. ila wale waliokuja ku upgrade ndo kuna mmoja alipata 3.0 ambae huyu kuna module arirudia na alkua peke ake aliefeli na mwingine 3.5 na walio pata gpa chini ya 4.0 walkua sita tu kati ya wahitim 62 (but this was 2019)
Kiufupi kuna baadhi ya walimu wanaona kufelisha bu sifa na kuna wanafunzi nao hawasomi wanataka kitonga.Imagine huyo ndiye mwalimu, sijui anafundisha nini huko chuoni kwao, anaona sifa kusema wengi wanaishia 3.0 kuna vyuo, hawa wasimamizi ni makatili kweli wanaminya hizo GPA kishenzi
Mkuu ukipata nishtue tuungane nakihitaji nisajilie duka.Au kama addo bado inatolewa tunaomba utujuze chuo ambacho kinatoa kwa sasa maana hata mm nataka kusoma addo. Na huwa nna regret kwann sikusoma.
Na sababu kubwa sio addo kukosa ubora ila ni wingi wa pharmacy technician ana dispenser (level 4) wanaohitim kwa sasa hakuna upunguf.
Na kwenye upnde wa pharmacy hata mtu anaishia level 4 & 5 anaweza kudispense dawa ndo mana addo ikafutwa
Mwanza university ni chuo kipya boss? Je ni kizuri?Ngoja wajuzi waje m cju kuhusu hii kozi
Upo sahihi. Sasahivi unajua kabisa mtoto fulani ni kilaza ila utakuta ana division one eti.Mkuu quality ya D ya 2015 kushuka chini......ni tofauti na quality ya D hzi za miaka hii....miaka hii ya one za saba kama njugu ukipata D sawa na hamna kitu