matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kwambà, kwani yeye haoni? Dah , umetisha Mzee Baba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo Mungu kwanini mpaka aombwe?
Hapo huwa sielewi,Kwambà, kwani yeye haoni? Dah , umetisha Mzee Baba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂nakazia swaliHuyo Mungu kwanini mpaka aombwe?
Afu sikia hii;-Hapo huwa sielewi,
Mungu mwenye uwezo wote ujuzi wote na upendo wote halafu tukitaka kitu mpaka tumuombe tena?
Afu sikia hii;-
Ombeni nanyi mtapewa
Tafuteni nanyi mtapata
Bisheni nanyi mtafunguliwa
Huyu Mungu huyu , Acha aitwe MUNGU
Una watoto? Kama unao hua hawakuombi mahitaji yao?Huyo Mungu kwanini mpaka aombwe?
Kitu muhimu ni kuomba Mungu akupe kibali au upendeleo.
Mengine yote ni matokeo ya kibali ulichopewa na Mungu.
Ukipewa kibali na cha uzima, hakuna mfumo au mtu wa kukunyang'anya haki ya kuishi.
Ukipewa kibali cha utajiri, unaweza kuwa mkulimq mkubwa kwenye ardhi isiyo na rutuba kama Isaka na Ibrahimu.
Ukipewa kibali unaweza kupita katikati ya maadui na wasikufanye chochote kama Yakobo.
Ukipewa kibali unaweza kuwa houseboy mwenye influence kuliko baba Mwenye nyumba. Diwani mwenye ushawishi kuliko Rais kama Yusufu.
Katika maombi yako usisahau kuomba kibali kutoka kwa Mungu.
Je Mungu hajui mahitaji yako?Un
Una watoto? Kama unao hua hawakuombi mahitaji yao?
MUNGU anakupendaJe Mungu hajui mahitaji yako?
Wewe kama Baba, Huwa si lazima unajua mtoto wako na familia yako inahitaji chakula, malazi na makazi?
Kwani ni mpaka mwanao aku kumbushe na kukwambia " Baba tunahitaji kula" ndio ununue chakula?
Ninyi huwa mnasema kwamba, Mungu ni mwenye kujua yote ,na Mungu ni muweza wa yote.
Sasa naku uliza hivi [emoji116]
Mungu mwenye kujua yote, Je hajui mahitaji yako unayo yahitaji mpaka umuombe wewe?
Mungu Alishindwaje kuumba binadamu walio na vibali?It make sense mkuu,
Kibali ,Mungu anakupambania upate nafasi kwnye mioyo ya watu
Kubali kinakufanya usiwe mtu wa kupuuzwa
Kibali kinafungua milango usijue nn chakufanya nayo
Kibali kinakupunguzia maisha ya majasho na kustruggle
TUOMBE KIBALI CHA MUNGU,kitufae katika kufanya maisha !
Mungu mwenye upendo, Na angekuwa Anatupenda.MUNGU anakupenda
Sio ukweli.Amina,Huu ndio ukweli