Huo ni uchaguzi wa amani?Halazimishi ufanye kitu flani, ndiomana kakupa utashi uchague wewe mema au mabaya.
Navyoelewa mimi ni kamba za dini tuHufahamu ulimwengu wa roho mkuu?
Je bahati inauhusiano gani na Mungu!?Unakataa Mungu hayupo ila unakubali uwepo wa bahati, na huwa unakaza fuvu kabisa wewe ni Mwanasayansi unaeelezaga vitu kwa empirical evidence?
Dunia simama nishuke [emoji1732][emoji1787]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Why anaruhusu hayo wakati anaupendo wote!?Ni MUNGU anayeruhusu magonjwa, mateso yakufike....anayaruhusu kiupendo kabisa
Sasa Unyoofu wa Adamu hapo ni UPI kama aliweza kujiletea matatizo? Sikosei hata Unyoofu wa Mungu unatilia shaka maana alijitafutia matatizo mwenyewe kwa kumuumba shetani.Alimfanya Adam mnyoofu akajitaftia matatizo mwenyewe. ''MUNGU ANAKUPENDA'
Umeelewa maana ya bahati?Bado hujathibitisha uwepo wa bahati physically and its visibility ilihali unakataa ukweli juu ya uwepo wa Mungu.
Akili zako zina ukomo kuelewa kuhusu imani na uwepo wa Mungu by empirical evidence kama ujiitavyo Mwanasayansi ambaye huambatani kabisa na metaphysics evidence philosophies.
Thibitisha bahati si imani na ikiwa umefeli kuthibituisha mwonekano wake na umbo lake.
Mbali na hapo utakuwa umeamua kukaza fuvu lako tu kuwa hakuna Mungu ilihali kuna vitu vingi tu visivyo na physicality na visibility unakubali na kuamini uwepo wake kama bahati, akili, hewa.....
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ndio, NINAJIPENDA SANA.Ila MUNGU anakupenda.
Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Je hakujua kwamba Adamu atajitaftia matatizo?Alimfanya Adam mnyoofu akajitaftia matatizo mwenyewe. ''MUNGU ANAKUPENDA'
Sasa kwanini mtu akichagua mabaya apewe adhabu?Halazimishi ufanye kitu flani, ndiomana kakupa utashi uchague wewe mema au mabaya.
Ifike mahali tumtumainie Mwenyezi Mungu na wakati huohuo tufanye kazi kwa bidii tofauti na hapo tutabakia kutishana tu kwa maneno makali kama ya mtoa madaJe Mungu hajui mahitaji yako?
Wewe kama Baba, Huwa si lazima unajua mtoto wako na familia yako inahitaji chakula, malazi na makazi?
Kwani ni mpaka mwanao aku kumbushe na kukwambia " Baba tunahitaji kula" ndio ununue chakula?
Ninyi huwa mnasema kwamba, Mungu ni mwenye kujua yote ,na Mungu ni muweza wa yote.
Sasa naku uliza hivi [emoji116]
Mungu mwenye kujua yote, Je hajui mahitaji yako unayo yahitaji mpaka umuombe wewe?
usimamiz ni ule ule,mbinu ni zile zile , customer care ni ile ile na bei ile ile pamoja na location...Logical non sequitur
Kwamba kwasababu biashara yako inaenda vizuri ndiyo inadhihirisha kibali kutoka kwa Mungu!?
Haufikirii kama ni usimamizi wako mzuri tu katika kuendesha biashara and nothing else!?
Anakupa machaguo ukiwa hapa duniani ukifa hakuna machaguo Tena matendo yako ndio yatakuchagulia uende wapi. Chagua vyema ndugu MUNGU anakupendaSasa kwanini mtu akichagua mabaya apewe adhabu?
Huoni kwamba Mungu huyo ana ingilia uhuru na utashi wa watu alio uweka mwenyewe, wa kufanya mema au mabaya?
Kama alikuwa hataki tufanye mabaya, kwa nini aliweka utashi wa kuweza kufanya mabaya?
Kama Mungu alikuwa hataki tufanye mabaya, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu wasioweza kutenda mabaya?
Hutaki kuelewa wataka kubishana ndo tatizo lilipo hata nkikwambia maneno gani Kama unabishana huwezi elewa. 'MUNGU ANAKUPENDA'Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Je hakujua kwamba Adamu atajitaftia matatizo?
Mungu aliye muumba Adamu mnyoofu, ambaye Adamu huyo "mnyoofu" baadaye alikuja kujitaftia matatizo,
Je kazi yake Mungu ya "Uumbaji" ilikuwa na ukamilifu kweli?
SawaNdio, NINAJIPENDA SANA.
We mkaldayo mbona unavurugu hivi?Mkuu ujaongelea kabisa na kugusia kibali cha upigaji miti. Kwa iyo mada na uzi wako hauna mantiki.
Anakuumbq mnyoofu anakupa uhuri uchague mwenyew mema au mabaya lakini baada ya hapo huchagui matokeo ya machaguo yako, matendo yako ndio yanakuchagulia.. MUNGU anakupendaSasa Unyoofu wa Adamu hapo ni UPI kama aliweza kujiletea matatizo? Sikosei hata Unyoofu wa Mungu unatilia shaka maana alijitafutia matatizo mwenyewe kwa kumuumba shetani.
Kasoro za kila kitu ndio Ukamilifu wake saw a na Unyoofu wake.
Mungu mnayemtaja hajawahi kuwepo.
'Uhuru wa kuchagua Ni wako Ila matokeo baada ya machaguo yako si yako Tena' MUNGU anakupendaHuo ni uchaguzi wa amani?
Huoni kama ni kulazimishana tu. Ili hali unasema sio kulazimishana.
Ni sawa na Wewe umtongoze mwanamke then umwambie kuwa
"unauhuru wa kuchagua kunikubalia ama kunikatalia, lakini usiponikubali mimi ntakuua kwa kukuchoma moto"
Hapo huoni technically umeforce mambo haijalishi ulisema anauhuru wa kukuchagua ama kukukatalia!?
Ni kanuni: hakuna HAKI pasipo WAJIBU!Huyo Mungu kwanini mpaka aombwe?
Logical non sequiturNi kanuni: hakuna HAKI pasipo WAJIBU!
Hiyo ni saikolojia yako tu imejengwa ujihisi unaunganishwa na nguvu iliyo juu.pia huwa ni raha sana kumuomba Baba wa mbinguni. Kwenye maombi ndipo tunaungana na Mungu wetu, ndilo eneo rasmi la kupiga stori na Mungu Baba yetu.
very awesome!
Anaokoa nini meli, ndege na kila siku watu wanakufa kwa matetemeko tu na ilihali wanamuomba kila siku!?YESU NI BWANA & MWOKOZI