Usitengeneze mahusiano na mtu anayekupiga mizinga muda wote

Swali ni je wanakuwa na malengo na hao wanawake as in watawaoa? Kama hawawaoi sasa kwanini wanataka wanawake ndiyo wajicommit kwenye hayo mahusiano?
Tofauti ya binadamu na wanyama, ni binadamu kustaarabika kuliko wanyama kwa kujiwekea utaratibu wa mahusiano; ila hisia za binadamu hazina tofauti na wanyama, chochote anachokiona mbele, kama kinamvutia kitamshawishi tu
 
Dah!,
Mimi nilipata mfanyakazi ila kwa vizinga yaani unaweza sema hana kazi lol,

Eti ndani ya mwezi mmoja mwanamke anataka macho 3

Nikamwambia nimeghairi mahusiano na wewe,na sina sababu kwanini nimeghairi...
Alafu siki Hizi hakuna na Cha anaefanya kazi wala asiefanyaaa yani wote ni kuombaa helaaa tuu.. Nlipata mfanyakazi akawa anajidai haiombi hela mwanzoni ikapita week aisee akaanza shida za 20K mara nikopeshe niongeze mtaji ooho.. Nikabwaga nikapata mchaga yani yeye mamaee mkikutana utasikia mwanaume anatakiwa amuhudumie mpenzi wake beib sasa wew unafanyaje kila ukimlaa anataka at least 30K yani ni sawa na unanunua utamu japo mnato anao sasa ni bora kununua Malaya tu ishu malaya huduma chap chap...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Alidai simu mwisho wa mwezi kama ameniona tena...
 
Alokwambia Wanaume za watu tu ndo wanapigwa mizinga alikuona lofaa..
 
Tofauti ya binadamu na wanyama, ni binadamu kustaarabika kuliko wanyama kwa kujiwekea utaratibu wa mahusiano; ila hisia za binadamu hazina tofauti na wanyama, chochote anachokiona mbele, kama kinamvutia kitamshawishi tu
Hujajibu swali langu Mkuu
 
A wise man once said

"Avoid broke women at any cost".


Hapa alimaanisha broke women upande wa mtazamo, mindset na sio broke upande wa kifedha

Ukiona una date na mwanamke ana mtazamo negative, hajali kuhusu future, hakupi mawazo ya kimaendeleo wala haongelei chochote kuhusu business au investment anachotaka yeye ni attention tu hapo mwanaume kimbia mbio ndefu kuliko hata Hussein Bolt.
Haijalishi huyo mwanamke ni mchepuko au mchumba, kama ni mke mvumilie kwa sababu ulimuoa kwa ujinga wako mwenyewe [emoji41]

Mwanamke kua mchepuko hai guarantee awe na akili za kitoto au kipumbavu pumbavu.
 
Kaka ukikut

Mwanangu wahuni tukikutana demu wa hivi huwa tunamwaga ulezi chini,wakat kuku anadonoa ulezi unapita nae shaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Sio kwa usawa huu mlongo, utaishiwa kugalagazwa na huudumiwi, eti usiombe usubiri kupewa mbna had malaika watachoka kusujudu na kuabudu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna wenzetu hawana tofauti na chuma ulete
Enweiz mtupege tu hizo pesa Kwani mnatafuta kwa ajili ya Nani..!!!![emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila cc wee nn khaaah
 
Hujawahi kukosea mommah, umepiga penyewe Pentagon kabisaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…