Usitongoze mwanamke, fanya hivi utakuja kunishukuru

Bana gari pia Ni uchawi

Namkumbuka nikiwa mji wa sumbawanga nilikuwa natumia gari ya ofc mji mzima ule. Hauna mademu wakali San ila wale wachache nimewachakata sna kwa kutumia hyo wakijuwa jamaa anazo pesa bas kumbe nalipwa laki sita tu

Nilimchakta demu mkali San
 
Unayekutana nae mchana na kumpa 50k na hiyo business card, wengine wanakutana nae usiku, wanampata kwa 5000/=. Acha Kila mmoja aenjoy kwa methods zake
Kama kuna mwanaume ambaye anatomber pisi kali kwa jumla ya gharama ya buku tano na aje hapa mbele mie nimpe laki
 
NiniFaida ya Kula Mademu na kuwaacha wakaenda zao kwa gharama ?
Naona Humu wengi hawajui Faida na Dhamira ya Sex.
Humaoni kuwa munapoteza Mbegu Bora., Pengine mungelikuwa munaitwa Baba bado mungaliVijana na kuweka thamani ya Sex una wa kuoa umpendae na kujenga famila?
 
Waturudishe kulekule, nasi pia tunazipenda fedha zetu, zina mengi ya kufanya sio kuwapa tu , for what niwape? Anayestahili fedha yangu ni mama na mke wangu
 
Sasa kama huna gari utambeba wapi akikubali? Nimezungumza hivyo nikimaanisha hiyo 50 ni zawadi tu ya kuambatanisha kwenye salamu.
 
Mimi nikimnunulia demu supu na bia mbili bac roho inaniuma wiki nzima.
 
Mimi demu hapa jf akinifata tu Pm akanipa namba yake ya sim namtumia elfu 20 kwa mpesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…