Usitumie nguvu nyingi kumuaminisha mtu kuwa unampenda

Mimi siwezi kuamini labda nikutwe na mimi ila wanawake ni watu poa sana sema hamjajua wanapoaga kwa umri upi.
 
Tayari kimekulamba binti Sayuni kashakupiga tukio..!! 😹😹🤣

Nilipataga babe alikuwa ananilipia kodi kwenye nyumba yangu mwenyewe na nilikuwa namwambia landlord anataka kuanzia miezi 6 😹😹😹🤸‍♀️

Siku ananiambia tuachane na kodi hanilipii tena nilimcheka km kinyago cha mpapule..!! 🤣!
Wanaume tunawapiga sana matukio sema mnaogopa kusimulia, bora wewe umejitoa muhanga leo.
 
Ndyo umekuja kujua Leo umechelew kujitambua tenda wema uwende zako
 
Afu ukute kuna washkaji zako walikuwa wanakupa ushauri uachane na huyo single mother hukuwasikiliza ukawaona masnitch tu na washamba fulani hivi
 
Kunywa maji af urudi hapa utuambie nini kimekusibu.
 
Mtawapata wajinga tu..
 
Pole jamani
 
VIJANA KUWENI MAKINI.... SIKU HIZI WANAWAKE WENGI NI WASHIRIKINA....WANAPISHANA VIRINGENI......
 
Kwa rahaa ulizo mpa jamaa kwnn asifanye hivyo hana hasara huyo mda mwingine tunawekezaka na tunapoteza pia
 

Umelipwa Nini Kaka baada ya kuchezea hela huku Mama yako huko Biharamulo Hana vitengw vya kigoma
 
Miaka 27 watot wa3, Single mother, . 🙆 Oa hii imekaaj, au ulirogwa😂
 
Ila mnawaangaliaga kuwa huyu ni boya tu then mnamnyoosha.

Si angekuua tu au akukate mguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…