Usitumie nguvu nyingi kumuaminisha mtu kuwa unampenda

Hujamalizia bhna sema kilikukuta nini πŸ˜€πŸ˜€
 
SIMPS(Weak men) wanashida sana.
Halafu ukiwasanua wanajitetea sijui ni wema wanasaidia kama binadamu wengine.

Mtu analipia ada mtoto wa single maza wakati watoto wa ndugu zake kibao hawajalipiwa ada.

Mtu ana-sponser extravaganza life ya slay queen wakati wazazi wake wanaishi maisha ya dhiki. Halafu bila aibu anasema anafanya wema tu. A simp is a shame to his friends, parents and ancestors.

kuna slay queen mmoja baada ya kumchakata mara kadhaa akaniambia nimpangishie nyumba. Nikamwambia nipe bajeti kaniletea bajeti ya laki 5, nikaenda ku-withdraw laki 5 nikaenda dukani kuwanunuliwa wazazi wangu smart tv nikawapelekea zawadi, na yule slay queen hajaiona sura yangu tena mpaka leo
 
usimshurutishe akueleweshe mletee kwanza mwanasaikolojia maana kapigwa na tofali la medula oblangata!...πŸ˜‚
Lini utanijengea nyumba we mwanaume
 
Mimi na hao watoto tutaishi wapi? Nyumba kwanza
Mh! hii ngoma imekataa watoto kwanza fanya fanya mi nipachike vimbegu humo nyumba lazima niwajengee
 
Ila wanaume mmezidi kulalama juu ya wanawake, ni wakati sasa muwekeze kwa wanaume wenzenu.

Tumechoka kusikiliza kero zenu, mxxxxiiiiieeeew.
 
Mtume kuja muujiza uku.Nn kimetokea embu tueleze vizuri mkuu
 
Kwani sasahivi unaishi kwenye tundu la siafu..?
usinivuruge hebu nizalie kwanza nijue unakizazi sio najenga halafu wakuja kukaa kumbe hauna!
Kwahiyo mtoto mmoja hatoshi kukuhakikishia kama nina kizazi hadi nifyatue watatu? Loh
 
Wanaume wengi tukipenda huwa hatuoni wala kusikiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huu mchezo wa mapenzi ni hatari sana.Mara kwa mara inabidi mtu ujievaluate ili kutokuingia kwenye "mapenzi upofu".
 
Umeambiwa umpende Mungu wako 100%, kisha wewe mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…