Usitumie nguvu nyingi kumuaminisha mtu kuwa unampenda

Good Point kaka, Maana Hivi Viumbe havina shukrani, kiukweli kutoka kwa Mungu nafsi yangu Imekua chafu kwa Hawa Viumbe,
ukijaa nakuchapa na unapita kule Sina time na ww, na kama kukusaidia labda nikununulie Chips+ Kuku( Chakula tu ambayo utakua ni mlo wa siku, mwendo wa kula uliwe.imeishaaa hiyoooo
 
Mwanangu niliingia mazima kwa akili ya Biashara nikaiweka ktk Mapenzi... Nilipoteza
Sasa, naomba uishi maisha yako, kufanya umalaya hukomoi mtu,wajikomoa wewe ndugu,utapata magonjwa uache mtoto akipata tabu
 
Umedhihirisha ulivyo kibuyu.Ipo siku watakutawanya nyaa.Endelea kujisifu ujinga.

Mnakufaga vibaya nyie.Endelea na huo utapeli utakutana na mamafia watakuMasogange๐Ÿ‘‹
We nawe da kiboga peleka uchokoo wako huko..!! Umeona wewe beki hazikabi unaombea na wenzio poyeeee.!! Pyeeeeee hilo kubwa jinga ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿคฃ
 
Wewe unalala na kula kwa shemeji yako.kisha unakuja andika upuuzi eti ukamjengea. Unaota?hujielewi unakuja na pigo za kishamba sana. Nenda kamfulie shemejiyo boxers zake.
Haaaaa, ndugu usidharau mtu usie mjua, Mimi nyumba yangu ya kwanza kujenga Nimejenga nikiwai na Miaka 22. brooo. Naamini ktk Biashara mkuu.( Sijawai kuajiriwa hata siku Moja)
 
Yaani katika Haya Maisha USITUMIE Mali yako, au Pesa yako kuwekeza kwa mwanamke.
Mithali 31:
1 Maneno ya mfalme Lemueli - mausia aliyofundishwa na mama yake.
2 Mwanangu nini? Na ni nini mwana wa tumbo langu? Na ni nini mwana wa nadhiri zangu?
3 Nguvu zako usiwape wanawake; au wenye kuharibu wafalme njia zako.
 
Mithali 31:
1 Maneno ya mfalme Lemueli - mausia aliyofundishwa na mama yake.
2 Mwanangu nini? Na ni nini mwana wa tumbo langu? Na ni nini mwana wa nadhiri zangu?
3 Nguvu zako usiwape wanawake; au wenye kuharibu wafalme njia zako.
Asante ndugu kwa somo zuri na Lenye kujenga, nimejifunza kupitia Mimi na nimeelimika ktk ufahamu Wangu, nilikua naamini utapeli uko kwenye Biashara tu ila utapeli uko Kila Sehemu.
 
Ulikua untk kumuoa au ulikua unatafuta nn? Utakua umepatwa na balaa kubwa ni vile tu hujamalizia stori
 
Ulikua untk kumuoa au ulikua unatafuta nn? Utakua umepatwa na balaa kubwa ni vile tu hujamalizia stori
Lengo ilikua kumuoa, ila nikitaka kuandaa baadhi ya mambo kwanza ila ndugu hata wewe kama ni Mwanaume hata siku Moja usije Fanya Ujinga nilioufanya mm
 
Ndiyo umeshituka sasa? Usimuonee huruma mwanamke. Pesa, mali yako na kuwa unamjali siyo vigezo vya kumfanya mwanamke akupende.
Kama siyo ndugu yako, muache apambane na maisha. Wewe kula mbususu pita hivi, wajinga watajazia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ