Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Usishangae kusikia wachapishaji wa Bible wamepigwa marufuku kuchapisha huo mstariMungu huweka serikali na viongozi kwa wakati na muda anautaka yeye. Warumi 13.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usishangae kusikia wachapishaji wa Bible wamepigwa marufuku kuchapisha huo mstariMungu huweka serikali na viongozi kwa wakati na muda anautaka yeye. Warumi 13.
Kila siku nyuzi zake ni kuchochea na kutisha mamlakaKwann apigwe ban.
AmeenMungu ana kusudi lake na kwa imani yangu wakati wake na kwa hekima yake atatuletea Kiongozi bora mwenye kujali na kumtetea watu wake.
Hayo ni baada ya kugeuka, kutubu kuacha UOVU na dhulma ndipo baraka na neema zifuatwe.Mbona hamtabiri kuhusu mafanikio na neema ?
Sana!Sema Abdul akichukua Nchi tutakula bata balaaa
ANAANDIKA Mh LISSUMungu huweka serikali na viongozi kwa wakati na muda anautaka yeye. Warumi 13.
Najuwa kuna watu hamuwezi kupenda ila leo natamani mjiulize ktk serikali ya hayati Magufuli idadi ya viongozi ndani ya serikali yake walitutoka wakati tukiwa tunategemea uwepo wao. Nani angeamini tungempoteza Magufuli japo Mungu alituonyesha watu wake na tukasema.
Mungu anataka kizazi kipya cha uongozi ktk Taifa sio wale walianza na Magufuli. Hakuna anaweza kuamini hili lakini huwo ndio ukweli mchungu kwa wale wanatamani kuona wanaendelea kuwa viongozi. Nguvu kubwa yaweza tumika na kila mnacho ila Mungu hayupo ktk hizo nguvu anataka mabadiliko na mabadiliko hayo sio madogo mabadiliko makubwa kuliponya Taifa.
Mungu anasema ikiwa mtatumia akili na utashi wenu ataingilia ktk namna hakuna mtu anaweza kuamini. Hivyo hatuna budi kuepuka ghadhabu kwa kukaa pembeni. Nakupisha uongozi mpya
Hawapishi ila wengi watakufaMungu huweka serikali na viongozi kwa wakati na muda anautaka yeye. Warumi 13.
Najuwa kuna watu hamuwezi kupenda ila leo natamani mjiulize ktk serikali ya hayati Magufuli idadi ya viongozi ndani ya serikali yake walitutoka wakati tukiwa tunategemea uwepo wao. Nani angeamini tungempoteza Magufuli japo Mungu alituonyesha watu wake na tukasema.
Mungu anataka kizazi kipya cha uongozi ktk Taifa sio wale walianza na Magufuli. Hakuna anaweza kuamini hili lakini huwo ndio ukweli mchungu kwa wale wanatamani kuona wanaendelea kuwa viongozi. Nguvu kubwa yaweza tumika na kila mnacho ila Mungu hayupo ktk hizo nguvu anataka mabadiliko na mabadiliko hayo sio madogo mabadiliko makubwa kuliponya Taifa.
Mungu anasema ikiwa mtatumia akili na utashi wenu ataingilia ktk namna hakuna mtu anaweza kuamini. Hivyo hatuna budi kuepuka ghadhabu kwa kukaa pembeni. Nakupisha uongozi mpya
Jaka... HuyoAcha uongo Wizi wa Kura na kupora masanduku huku mkiteka wagombea na kuua mawakala ni Mungu gani wa hovyo namna hiyo.
We jamaa Upigwe bani kila siku unakuja na nyuzi za kuitisha mamlala iliyoko madarakani.
Me nimekuelewa ndugu, na ndo maana mwaka huu nagombea ubunge hapa mjini Dar es Salaam.Mungu huweka serikali na viongozi kwa wakati na muda anautaka yeye. Warumi 13.
Najuwa kuna watu hamuwezi kupenda ila leo natamani mjiulize ktk serikali ya hayati Magufuli idadi ya viongozi ndani ya serikali yake walitutoka wakati tukiwa tunategemea uwepo wao. Nani angeamini tungempoteza Magufuli japo Mungu alituonyesha watu wake na tukasema.
Mungu anataka kizazi kipya cha uongozi ktk Taifa sio wale walianza na Magufuli. Hakuna anaweza kuamini hili lakini huwo ndio ukweli mchungu kwa wale wanatamani kuona wanaendelea kuwa viongozi. Nguvu kubwa yaweza tumika na kila mnacho ila Mungu hayupo ktk hizo nguvu anataka mabadiliko na mabadiliko hayo sio madogo mabadiliko makubwa kuliponya Taifa.
Mungu anasema ikiwa mtatumia akili na utashi wenu ataingilia ktk namna hakuna mtu anaweza kuamini. Hivyo hatuna budi kuepuka ghadhabu kwa kukaa pembeni. Nakupisha uongozi mpya
Naunga mkono hoja, hili na mimi niliambiwa kwenye HII sauti!.Mungu huweka serikali na viongozi kwa wakati na muda anautaka yeye. Warumi 13.
Najuwa kuna watu hamuwezi kupenda ila leo natamani mjiulize ktk serikali ya hayati Magufuli idadi ya viongozi ndani ya serikali yake walitutoka wakati tukiwa tunategemea uwepo wao. Nani angeamini tungempoteza Magufuli japo Mungu alituonyesha watu wake na tukasema.
Mungu anataka kizazi kipya cha uongozi ktk Taifa sio wale walianza na Magufuli. Hakuna anaweza kuamini hili lakini huwo ndio ukweli mchungu kwa wale wanatamani kuona wanaendelea kuwa viongozi. Nguvu kubwa yaweza tumika na kila mnacho ila Mungu hayupo ktk hizo nguvu anataka mabadiliko na mabadiliko hayo sio madogo mabadiliko makubwa kuliponya Taifa.
Mungu anasema ikiwa mtatumia akili na utashi wenu ataingilia ktk namna hakuna mtu anaweza kuamini. Hivyo hatuna budi kuepuka ghadhabu kwa kukaa pembeni. Nakupisha uongozi mpya
Unaweza kuta yeye ndiye yule Mfalme Zumaridi anayeenda kwa Mungu kila siku na kurudi duniani.Uliongea lini na mungu??
Mungu huweka serikali na viongozi kwa wakati na muda anautaka yeye. Warumi 13.
Najuwa kuna watu hamuwezi kupenda ila leo natamani mjiulize ktk serikali ya hayati Magufuli idadi ya viongozi ndani ya serikali yake walitutoka wakati tukiwa tunategemea uwepo wao. Nani angeamini tungempoteza Magufuli japo Mungu alituonyesha watu wake na tukasema.
Mungu anataka kizazi kipya cha uongozi ktk Taifa sio wale walianza na Magufuli. Hakuna anaweza kuamini hili lakini huwo ndio ukweli mchungu kwa wale wanatamani kuona wanaendelea kuwa viongozi. Nguvu kubwa yaweza tumika na kila mnacho ila Mungu hayupo ktk hizo nguvu anataka mabadiliko na mabadiliko hayo sio madogo mabadiliko makubwa kuliponya Taifa.
Mungu anasema ikiwa mtatumia akili na utashi wenu ataingilia ktk namna hakuna mtu anaweza kuamini. Hivyo hatuna budi kuepuka ghadhabu kwa kukaa pembeni. Nakupisha uongozi mpy
Nabii LemaNi ngumu sana kuelewa namna Mungu anayofanya kazi zake. Huachia mambo mabaya yenye kuumiza, kutesa na kuvunja moyo yatokee halafu huja kuyafutilia yote.
Lazima tuelewe kila mamlaka iliyopo Mungu ndiyo aliamuru uwepo wa hiyo mamlaka lakini wale wanaoongoza hizo mamlaka huwa wanafanya mambo kwa utashi na akili zao. Utawala wa Magufuli ulikuwa wenye kuumiza na kupumbaza akili za watu.
Lakini Mungu aliamua kumfutilia mbali huyo Magufuli, akaingia Dr Samia na tunaona bado hali ni ile ile kama ya utawala wa Magufuli na bado wapo wanaosifia, wanatesa na kuondoka uhai wa binadamu we zao still Mungu ameamua kuachia yote hayo yatokee.
Mungu ana kusudi lake na kwa imani yangu wakati wake na kwa hekima yake atatuletea Kiongozi bora mwenye kujali na kumtetea watu wake.
Sijui na sielewi kanuni za Mungu zipo Vipi kwenye hili jambo lakini naamini baada ya haya malalamiko, mauaji, mateso na changamoto za kila namna kwa Watu wake atazikomesha na watu wake watapata furaha na amani kwenye nchi yao.