Utabiri kuelekea uchaguzi Ukimya wa Mungu haumanishi mmekubalika jambo kubwa litatokea

Mungu huweka serikali na viongozi kwa wakati na muda anautaka yeye. Warumi 13.
Usishangae kusikia wachapishaji wa Bible wamepigwa marufuku kuchapisha huo mstari
 
Mbona hamtabiri kuhusu mafanikio na neema ?
Hayo ni baada ya kugeuka, kutubu kuacha UOVU na dhulma ndipo baraka na neema zifuatwe.

Yaani uibe uchaguzi Kisha utegemee kutabiriwa neema, Hilo halipo.
 
Tangia lini na wewe umekuwa Mungu na kuwasiliana na Mungu? Acha kujipa umuhimu wakati ulishapuuzwa. Maandiko yako ya zamani yanakuhukumu kwa kuonekana wewe ni mnafiki na usiye na uzalendo wa aina yoyote ile zaidi ya chuki binafsi tu.
 
Tangia lini na wewe umekuwa Mungu na kuwasiliana na Mungu? Acha kujipa umuhimu wakati ulishapuuzwa. Maandiko yako ya zamani yanakuhukumu kwa kuonekana wewe ni mnafiki na usiye na uzalendo wa aina yoyote ile zaidi ya chuki binafsi tu.
 
ANAANDIKA Mh LISSU

Maria Sarungi-Tsehai, one of Tanzania's foremost and fearless critics of the Samia regime and a dearest friend has been snatched by three unidentified gunmen in the vicinity of Yaya Centre in the Kenyan capital of Nairobi.

A strident opponent of the Magufuli dictatorship, Maria had fled to exile in Kenya since just before the fraudulent 2020 general elections and had been running Chanzo TV, a pro-democracy online platform.

While we hope and pray for Maria's life and safety, we must call upon the Kenyan government and all people of goodwill from around the world to intervene in whatever capacity they can to help secure Maria's safe return to her family.

And we must tell whoever is behind Maria's abduction and disappearance that no amount of terror and violence or intimidation will silence us. That many many more Marias will step forward to take up her fight for democracy and decency in Tanzania.
 
Kwahy Mungu haoni watu wanavyoteseka huko Gaza, Ukraine na kwingineko ila anaona viongozi wa Tz?
 
Hawapishi ila wengi watakufa
 
Acha uongo Wizi wa Kura na kupora masanduku huku mkiteka wagombea na kuua mawakala ni Mungu gani wa hovyo namna hiyo.

We jamaa Upigwe bani kila siku unakuja na nyuzi za kuitisha mamlala iliyoko madarakani.
Jaka... Huyo
 
Me nimekuelewa ndugu, na ndo maana mwaka huu nagombea ubunge hapa mjini Dar es Salaam.
 
Naunga mkono hoja, hili na mimi niliambiwa kwenye HII sauti!.
P
 
Hujasikia tetesi kwamba hatogombea!!?Kuna Uzi humu unauliza eti CCM Ina mbadala was smiah 2025!!?

Yule nabii Musa waziri mkuu wa mbinguni kapiga u turn eti Mama 2025 anapita kwa kishindo eti no mapenzi ya mungu!!

Mimi naendelea kuimba mitano Tena Kwa mama with causion!
 
Nabii Lema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…