Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

Sisi sukuma gang hatumtambui huyo bibi na hapati kura hata nusu kutoka kwetu, hata kwa bahati mbaya. 2025 tunaleta chuma kingine na hakuna kitu chochote utafanya, kaa utulie.
CC, mkutano mkuu, halmashauri kuu vyote viko chini ya uangalizi wa mama. Sukuma gang mtapita wap?
 
Ngoja tusubirie
 
Ila huyo Mwanaume Asiwe tu Dr. Josephat GWAJIMA,
Maana ata nyoosha mno, ana kubalika Saana
 
Jina la mgombea wa kiume wa CCM litakalileta MSHTUKO Kwa upinzani ni lipi Hilo!!!!!
 
Natamani iwe hivyo kwa kweli , tena naomba Mungu iwe hivyo.
Maana kwa hali hii mpaka 2030 mwezi wa kumi , Mungu saidia kwa kweli.
 
Leo nimeona niwajulishe kile ninacho kiona mwaka 2025 na uzi huu uwe shahidi itakapofika wakati huo.

2. Form yakwanza itachukuliwa na mwanamke na mpaka hapo watu wataamini mgombea ni mmoja.

3. Mwanaume mmoja atachukua form kimya kimya.
Mkuu Bei Elekezi , kwanza asante kwa utabiri huu. Naomba kukuukiza swali moja dogo tuu, wakati wa mid term ya urais CCM huwa inachapisha form moja tuu!. Huyu atakayechukua fomu kimya kimya, atachukulia wapi wakati fomu ni moja tuu:?.
Pascal Mayalla anasemaje kuhusu utabiri wako?
Mkuu Yohane Mbatizaji, johnthebaptist , hii kitu Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
Still stands, hivyo utabiri wa huyu jamaa unaweza kuwa kweli.
P
 
Mkuu unamaanisha huwa Demokrasia inaminywa?
 
Kwa vichekesho kama hivi piga *150#

Lumitel
 
Binafsi kwa namna ninavyoona pia,wengi mama anaohisi wako naye,naona kama wanamzuga tu kusogeza siku mbele ili wamlietiming baadaye kidogo...........hata akipita itakuwa katoa jasho jingi sana, kwasababu haihitaji hata uwe mchambuzi wa siasa kujua kama SISIEMU kuna kaufa
 
Ni Jasusi Mbobevu - Ni yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…