Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

Kwahiyo ni mimi?
 

Jina lake Dotto Biteko.

Ndio Rais anayefuata baada ya Samia Suluhu. Ndio Rais ataefanya transformation kubwa za kiuchumi kwa taifa.

Atachanganya demokrasia na dictatorship kwa pamoja. Atakutana na vikwazo vingi ila raia watamuelewa na kumuunga mkono.

Haya ni maono yangu tu, sio habari za chini ya kapeti.

Tanzania itakuwa na Rais bora kabisa kuwahi kutokea nchini na Afrika.
 
Nyie mnaotuletea maraisi wa ajabu ndio mnaharibu nchi
 
Nchini na Afrika!!?? Mpumbavu nn
 
Usingizi ni wako, ndoto ni yako kitanda ni chako ila ukiotacho usikiseme humu jukwaani.
Tanzania ilishapita kwenye majaribio mengi sana hivyo usiwaze na jaribio lingine tena kwa sasa.
 
Kwahiyo ukiwakiongozi hutakiwi kwenda kuburudisha akili, Mie naungana na mtoa maada huyu jamaa anatufaa kama tutataka kurejesha nidhamu
Ila nyie vijana
Yani uzunguke kote kote ety huyo anafaa kua rahisi🤣🤣🤣🤣🤣🙆🙆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…