Utabiri: Mwaka huu hautaisha kabla ya Dola ya Marekani kufika 3000Tsh

Utabiri: Mwaka huu hautaisha kabla ya Dola ya Marekani kufika 3000Tsh

Nchi ya ajabu sana .
wanatuletea wakulima wa china kulima mihogo badala ya kuwapeleka vijana wetu wakajifunze namna ya kulima mihogo china kisha waje walime kwenye ardhi yetu wenyewe na kisha tuwauzie kwa pesa za kigeni.
Kwanini usiwaletee hao wachina kwenye hizo kata wanazolima mihongo wakafundisha wakulima wetu?
 
Mwaka 1974 nauli ya Tanganyika Bus kutokea Mwanza mpaka Arusha ilikuwa shs.36.
Sijui kwanini imepanda sana.Ingebaki vile vile.
Ujinga ni maradhi makubwa sana.
 
Afu mijitu kwa ujasiri kabisa inakwabia mama anaupiga mwingi- sababu yenyewe inashiba na familia zao.
 
Sio kwamba tunaongea au kuombea mabaya la hasha. Tunajaribu kuangalia hali halisi!

Mpaka kufikia leo katika bureu de change dola moja inanunuliwa kwa 2660Tsh. Hii rate inapanda kila siku kwa kasi ya ajabu!

Nikijaribu kuangalia uwezo wa viongozi tulionao (Samia, Mwigulu, Majalia nk nk) na nikiangalia hali ya uchumi na jinsi dola inavyo paa INATOSHA SEMA Mwaka huu 2024 hautaisha kabla USD 1 kuuzwa kwa 3000Tsh!
Nakumbuka mwaka 2004 doral moja ilikua Tsh 500.
 
Magufuli hajawahi kumkubali Samia hata siku moja!

Si ndio huyu tuliambiwa aliandika barua ya kujiuzuru kisa hasikilizwi na Magu?
Magufuli ndiye alituletea Samia, kama sio magufuli tusingekua na rais kama samia. Alaumiwe magufuli kwa hili balaa
 
Kwanini usiwaletee hao wachina kwenye hizo kata wanazolima mihongo wakafundisha wakulima wetu?

Yaani utoe pesa uwalete wachina badala ya kuwapeleka watu wako wakapate exposure na utaalam ?

China iliwapeleka Watu wake kwa maelfu kusoma Marekani miaka 50 iliyopita leo china inaikimbiza Marekani kwenye kila kitu.

Nyerere aliwapeleka vijana wengi kusoma Urusi na Cuba na wengi ndio Maveterani walioko CCM na wastaafu wanaojaribu kujenga uzalendo unaoporomoka kwa kwasi. Impact yao ya kwenda kujifinza Cuba na Urusi bado ipo kwa miaka zaidi ya 40 .

Kwenda kujifunza kwa kwa kuona ni jambo la Muhimu kuliko.

Lakini pia hizo fursa zilikua zinatolewa lakini achawa na wahuni walipoanza kuvamia serikali nafasi hizo zikachukuliwa na machawa na mahawara kwenda kula bata na kupiga picha kwenye majengo marefu.
 
Back
Top Bottom