Utabiri: Mwaka huu hautaisha kabla ya Dola ya Marekani kufika 3000Tsh

Nchi ya ajabu sana .
wanatuletea wakulima wa china kulima mihogo badala ya kuwapeleka vijana wetu wakajifunze namna ya kulima mihogo china kisha waje walime kwenye ardhi yetu wenyewe na kisha tuwauzie kwa pesa za kigeni.
Huko mbali sana kwenda, kinachowashinda watanzania kujifunza Kwa hao wachina wanaolima hapa bongo ni nini?
 
Sio kwamba tunaongea au kuombea mabaya la hasha. Tunajaribu kuangalia hali halisi!

Mpaka kufikia leo katika bureu de change dola moja inanunuliwa kwa 2660Tsh. Hii rate inapanda kila siku kwa kasi ya ajabu!

Nikijaribu kuangalia uwezo wa viongozi tulionao (Samia, Mwigulu, Majalia nk nk) na nikiangalia hali ya uchumi na jinsi dola inavyo paa INATOSHA SEMA Mwaka huu 2024 hautaisha kabla USD 1 kuuzwa kwa 3000Tsh!
Itakuwa zaidi. Kama kila siku inaingeza zaidi ya sh 10 ina maana ndani ya siku 214 zilizobaki itaongeza zaidi ya 2140, kwa hiyo, Desemba 31, dola moja itakuwa sawa na zaidi ya TZS 4800.
 
Sio kwamba tunaongea au kuombea mabaya la hasha. Tunajaribu kuangalia hali halisi!

Mpaka kufikia leo katika bureu de change dola moja inanunuliwa kwa 2660Tsh. Hii rate inapanda kila siku kwa kasi ya ajabu!

Nikijaribu kuangalia uwezo wa viongozi tulionao (Samia, Mwigulu, Majalia nk nk) na nikiangalia hali ya uchumi na jinsi dola inavyo paa INATOSHA SEMA Mwaka huu 2024 hautaisha kabla USD 1 kuuzwa kwa 3000Tsh!
Iyo ex rate ni ya kwenye mabango...real exchange rate kwenye machimbo yenye Dollar ni 2,750 mpaka 2,800.kwanza Dollar zenyewe kwa uhalali utahangaika sana lk black market ndo unapata kwa rate iyo
 
Sio kwamba tunaongea au kuombea mabaya la hasha. Tunajaribu kuangalia hali halisi!

Mpaka kufikia leo katika bureu de change dola moja inanunuliwa kwa 2660Tsh. Hii rate inapanda kila siku kwa kasi ya ajabu!

Nikijaribu kuangalia uwezo wa viongozi tulionao (Samia, Mwigulu, Majalia nk nk) na nikiangalia hali ya uchumi na jinsi dola inavyo paa INATOSHA SEMA Mwaka huu 2024 hautaisha kabla USD 1 kuuzwa kwa 3000Tsh!
Dola ni product ya USA,wameamua kuipandisha thamani kwa kuifanya kuwa haba,hata baba yako angekua ikulu bado Dola ingepaa tu
 
Hapo sasa wale wataaalamu wa uchumi watusaidie kwenye masuala ya fiscal & monetary policy ili sarafu yetu iwe na stability
Ni kuuza nje zaidi kuliko kuagiza toka nje,na hata export ikizidi pesa yako itapanda Sana thamani utahitaji kuishusha Tena ili watu wavutiwe kununua kwako,Kama Japan na china wafanyavyo,ni cycle,Sasa tz kila kitu tunaagiza nje,na pesa ya dunia Dola,wenye Dola hawajachapa na wamepandisha riba,ili Dola iwe haba ipande thamani,mtu anakuja mlaumu samia
 
Sio dola pekee, hata thamani ya pesa yetu dhidi ya majirani kama Kenya na Uganda imeporomoka balaa...sasa hv biashara kati yetu na Kenya & Uganda iko hoi.
Hili genge linalomshauri bi ushingi sijui amelitoa wapi, twafaaa!.
 
Back
Top Bottom