Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwanini alimchagua makamu ambaye hamkubali?Magufuli hajawahi kumkubali Samia hata siku moja!
Si ndio huyu tuliambiwa aliandika barua ya kujiuzuru kisa hasikilizwi na Magu?
Acha uzushi hakuna mtu anaye pandisha viwango vya thamani.Dola ni product ya USA,wameamua kuipandisha thamani kwa kuifanya kuwa haba,hata baba yako angekua ikulu bado Dola ingepaa tu
Unatangaza umbumbumbu wako fedha na uchumiAcha uzushi hakuna mtu anaye pandisha viwango vya thamani.
Sio kwamba tunaongea au kuombea mabaya la hasha. Tunajaribu kuangalia hali halisi!
Mpaka kufikia leo katika bureu de change dola moja inanunuliwa kwa 2660Tsh. Hii rate inapanda kila siku kwa kasi ya ajabu!
Nikijaribu kuangalia uwezo wa viongozi tulionao (Samia, Mwigulu, Majalia nk nk) na nikiangalia hali ya uchumi na jinsi dola inavyo paa INATOSHA SEMA Mwaka huu 2024 hautaisha kabla USD 1 kuuzwa kwa 3000Tsh!
Kutwa anazunguka kukopa badala ya ku-export unategemea nini?
Magufuli ndiye alituletea Samia, kama sio magufuli tusingekua na rais kama samia. Alaumiwe magufuli kwa hili balaa
Hii nchi watangayika wamepumbazwa na wakapumbazika .
Yaani nchi ina soko la ndani la watu mil. 65. Ina amani, ina raslimali za kutosha, imepakana na nchi Nane na Bahari inayopokea soko lote la Nchi za mashariki halafu Imegeuka kuwa nchi ya wachuuzi wasioweza hata kukusanya pesa za ushuru wa bandari na wa viwanja vya ndege.
Baada ya adui kuteka viwanja vya ndege vya Tanganyika na bandari sasa ipo siku atatuambia kuwa hatuna uwezo wa kujilinda tunahitaji ulinzi wa nchi nyingine kutoka Uarabuni kama ilivyo Ufaransa na baadhi ya nchi za Afrika ya Magharibi.
Haiwezakani mpaka hela ya kenya inapanda thanani wakati wahitaji malighafi na chakula kutoka Tanzania .
Wakenya wanaingia mpaka Vijijini kununua vyakula badala ya waTannganyika wenyewe kununua na kuweka kwenye maghala na kuwaizia wageni ili pesa za kigeni zibadolishwe kwenye mifumo rasmi.
Kelele za waziri wa kilimo ni nyingi lakini hatuoni wakijenga masoko mipakani.
One stop center zinatakiwa kwenye mipaka yote ili wanaoingia mipakani kununua mazao waapate masoko mipakani . Na pesa zipitie mifumo rasimi .
Mikopo Inachukuliwa kila siku halafu inaishia kwenye sadari za nje na ndani za kila siku na misafara mirefu inayotumia mafuta kutoka nje kwa kununua magari ya kifahari kila kukikcha .
Majengo ya serikali yanawekwa Furniture kutoka chini kwa mikopo kutoka ulaya .
Nchi ya ajabu sana .
wanatuletea wakulima wa china kulima mihogo badala ya kuwapeleka vijana wetu wakajifunze namna ya kulima mihogo china kisha waje walime kwenye ardhi yetu wenyewe na kisha tuwauzie kwa pesa za kigeni.
Tunaotuma pesa mtandaoni iko $1 = TShs 2,858Sio kwamba tunaongea au kuombea mabaya la hasha. Tunajaribu kuangalia hali halisi!
Mpaka kufikia leo katika bureu de change dola moja inanunuliwa kwa 2660Tsh. Hii rate inapanda kila siku kwa kasi ya ajabu!
Nikijaribu kuangalia uwezo wa viongozi tulionao (Samia, Mwigulu, Majalia nk nk) na nikiangalia hali ya uchumi na jinsi dola inavyo paa INATOSHA SEMA Mwaka huu 2024 hautaisha kabla USD 1 kuuzwa kwa 3000Tsh!
Mkuu naomba unieleweshe kama sisi tukifanya hivyo madhara yake ni nini? Yaani kwamba tuondoe madafu kwenye mzunguko halafu ibaki $ inatambaPesa ya Zimbabwe (ZWL) iliwahi kushuka mpaka mtu unaenda sokoni na tololi la minoti eti tololi zima kwa kuchenge to Tz ni shilling 40000.
Wakaona ni ujinga walicho fanya wanatumia USD doral kama pesa ya taifa.
Uelewa wako unatia Shaka!Em tuache ujinga, kwahy ulitaka hiyo $1 iwe hvy hvy Tsh 5
N kweli mkuuUelewa wako unatia Shaka!