George Charles007
JF-Expert Member
- Mar 10, 2024
- 217
- 337
Hilo hatuwezi sema maana BRICS iko vizuri, zaidi ya 35% ya pato la dunia linatoka kwao na wanazaidi ya 55% ya idadi ya watu duniani. Na sasa BRICS kila mwanachama anauuza bidhaa kwa kutumia hela yake.Mkuu unajua taifa la Marekani hata katika biblia kwenye kitabu cha ufunuo 13 limetajwa ni vile inahitaji ufahamu kutambua
Kwaiyo taifa la Marekani lipo kimkakati Mkuu Ndio maana linanguvu na litaendelea kua na nguvu ya kiuchumi Kwaiyo hakuna jumuia yoyote inaweza kuiondoa Dollar kwenye utawala wa Dunia bali dollar na uchumi wake wa Marekani vitazidi kuimarika na kuimarika kila Leo
Marekani ana muda mchache sana kabla hajaingia kwenye crisis.