Utabiri: Ni suala la muda tu kabla Mwigulu hajaondolewa katika nafasi yake kwa kubadilishwa wizara au kuondolewa kabisa katika Baraza la Mawaziri

Hata kama Mama anampenda au bado ana imani na Mwigulu, ni vigumu sana kuendelea kumbakiza katika nafasi yake kutokana na reaction ya umma kwani anaonekana kuwa ni waziri anaengoza kwa kulaumiwa na kutuhumia na hivyo anakosa sifa ya kisiasa ya kuendelea kuwa waziri.

Kwa maneno mengine, yeye kuendelea kuwa waziri,. sasa kunamgharimu kisiasa Bosi wake jambo ambalo sidhani kama Mama ataendelea kulivumilia. Hivyo, ni swala la muda tu kabla hajaondolewa na mtihani pekee kwa Mama anamuondoaje au anamuondoa katika mazingira gani.

Katika siasa, hata kama hujatenda kosa lolote, ila ikatokea umma unakuunyoshea kidole au kutajwatajwa mara nyingi kwa mambo yasiyopendeza, basi uwajibikaji wa kisiasa huwa haukwepiki ama kwa kuwajibika mwenyewe kwa kujiuzulu nafasi yako, au kusubiri kuonddolewa na Mamlaka yako ya kinidhamu.

Japo hapa Bongo na Afrika kwa ujumla utamaduni huu haijazoeleka sana, ila tartatibu tunaanza kuzoea na mifano teyari iko mingi na hapa kwetu yameshatokea hivyo Mwigulu is the next whether ana hatia au laa.

Bashite is a good example japo ilichukukuwa muda.

Time will tell.
Sio Mwigulu Nchemba pekee hata January Makamba hastahili nafasi ya waziri wa nishati kuna shida kubwa Sana hatoi update za kutosha kuhusu wizara yake na mabei yanapanda hovyo bila utaratibu bila hata taarifa,jingine Mwigulu ametumika kudanganya umma kuhusu nyongeza za mishahara hivyo ameathiri creditors wengi walio kuwa wakifanya financial speculation za mikopo,ameleta tozo mpya bila sababu na bado kodi ni nyingi na matokeo hayaonekani,napenda kusema January na Mwigulu ni mawe yatilewe katka mchele
 
Yaani...!. We acha tuu!.

Mkuu Bejamini Netanyahu, kiukweli watu wabaya.. usipime!. Tena mwanzo niliambiwa nina nuksi, nikaoge baharini maji chumvi kisha nipasue nazi njia panda!. Nimetekeleza lakini wapi!. Baadaye nukaambiwa niogee maji waliyosafishia ..., nimeogea sasa ndio nasubiria!.
P
Hahahaha..
 
Mwigulu kabuni akaunti binafsi anakotoroshea fedha...kajifunza kutoka kwa VP!
Wanatutoza alafu tuzo hazipo serikalini!
Isije ikawa wanatoa control number feki ambazo hazipo zikiingia pesa wanakata zao.Mimi siamini Sana hawa jamaa wanaotoa hizi control number kwenye taasisi mbalimbali zinazokusanya pesa,wanashindwa vipi kuongeza zao then wanaenda zitafuna juu kwa juu,maana mbongo kwa upigaji apewe tuzo
 
Acha lawama kwa kiongozi wa nchi hasa wizara nyeti ya fedha kumbuka anafanya kazi kwa mujibu wa sheria lakini pia kwa maelekezo maalum, yeye hakurupuki akaintroduce kitu kipya kwa matakwa yake. Wewe ulitaka Mwigulu akufanyie nini ili uone anafaa?
 
Isije ikawa wanatoa control number feki ambazo hazipo zikiingia pesa wanakata zao.Mimi siamini Sana hawa jamaa wanaotoa hizi control number kwenye taasisi mbalimbali zinazokusanya pesa,wanashindwa vipi kuongeza zao then wanaenda zitafuna juu kwa juu,maana mbongo kwa upigaji apewe tuzo
System iko very complicated mpaka mtu unashindwa kujua ukweli upo wapi
 
Kama anauwezo wa kumpigia simu Raisi wetu mpendwa usiku wa manane na kumshauri, huyu jamaa anamuingiza Maza chaka

Mwigu hata atetewe vipi na Kigwa hatufai yaani.
 
Kama maximalipo wamekula Sana kodi zetu tukiamini zinaingia serikalini kumbe baadhi zikiingia account binafsi, hizi control number za SAsa mwananchi anaelipa ana uhakika gani kwamba zinaingia mfuko mkuu? Pasipo kufaidisha matumbo yao maana tetesi za mabus zimezidi.
 
Yaani...!. We acha tuu!.

Mkuu Bejamini Netanyahu, kiukweli watu wabaya.. usipime!. Tena mwanzo niliambiwa nina nuksi, nikaoge baharini maji chumvi kisha nipasue nazi njia panda!. Nimetekeleza lakini wapi!. Baadaye nukaambiwa niogee maji waliyosafishia ..., nimeogea sasa ndio nasubiria!.
P
Kinachoniuma mkuu unasifia sn lakini hupate hata Uenyekiti wa kata ngazi upande wa chama
 
Kama maximalipo wamekula Sana kodi zetu tukiamini zinaingia serikalini kumbe baadhi zikiingia account binafsi, hizi control number za SAsa mwananchi anaelipa ana uhakika gani kwamba zinaingia mfuko mkuu? Pasipo kufaidisha matumbo yao maana tetesi za mabus zimezidi.
Singida big star wanatoa wapi pesa za kununua wachezaji toka nje? Mtibwa wapo miaka yote lakini hawana hiyo jeuri
 
Kama anauwezo wa kumpigia simu Raisi wetu mpendwa usiku wa manane na kumshauri huyu jamaa anamuingiza Maza chaka

Mwigu hata atetewe vipi na Kigwa hatufai yaani.
Mfia dini naona huyu wa upande ule unamshambulia. Akisilimu utaendelea kushambulia?
 
Hata kama Mama anampenda au bado ana imani na Mwigulu, ni vigumu sana kuendelea kumbakiza katika nafasi yake kutokana na reaction ya umma kwani anaonekana kuwa ni waziri anaengoza kwa kulaumiwa na kutuhumia na hivyo anakosa sifa ya kisiasa ya kuendelea kuwa waziri.

Kwa maneno mengine, yeye kuendelea kuwa waziri,. sasa kunamgharimu kisiasa Bosi wake jambo ambalo sidhani kama Mama ataendelea kulivumilia. Hivyo, ni swala la muda tu kabla hajaondolewa na mtihani pekee kwa Mama anamuondoaje au anamuondoa katika mazingira gani.

Katika siasa, hata kama hujatenda kosa lolote, ila ikatokea umma unakuunyoshea kidole au kutajwatajwa mara nyingi kwa mambo yasiyopendeza, basi uwajibikaji wa kisiasa huwa haukwepiki ama kwa kuwajibika mwenyewe kwa kujiuzulu nafasi yako, au kusubiri kuonddolewa na Mamlaka yako ya kinidhamu.

Japo hapa Bongo na Afrika kwa ujumla utamaduni huu haijazoeleka sana, ila tartatibu tunaanza kuzoea na mifano teyari iko mingi na hapa kwetu yameshatokea hivyo Mwigulu is the next whether ana hatia au laa.

Bashite is a good example japo ilichukukuwa muda.

Time will tell.
Kaambiwa piga kazi usisikilize maneno ya watu, maneno hayo yaliyaongelewa Tabora

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom