Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,442
Ukitak kujua Binaadam ana wivu na roho mbaya we angalia wanaopinga huu utabiri.Watu bado wanakomaa eti utabiri umetokea nusu! Alicho tabiri kimesha tokea sio mpaka kitokee sawa kabisa na alivyo ona ishu iliyopo ss ndio tumeona alicho tabiri bhasi!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu mm nataka tuonane live nina shida na ww[emoji848]
na bora kafanya hivyo mana ungetik wote mngesema serikali imfuatilieUtabiri haujatimia, huyu jamaa alisema ndege itakatika vipande viwili na ndege ina beji nyekundu. Lakini sio kweli vyote hivyo
Tuache upuuzi watanzania
Ni kweli imetokea leo hiyo ajali ziwa victoria ndege ya precision air imeanguka ziwaniSalaam Aleykum
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nasikitika kusema kwama siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie.
1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.
Tusaidiane kuomba Mungu kwa pamoja ili ikiwezekana ajali hiyo isitokee
ilikuwa ni ndoto yake aliyoiota, ndoto sometimes huwa haiwi clear... But ni tukio tu ndio huwa clear (ajali ya ndege)1. Logo nyekundu ❌
2. Itakatika vipande viwili ❌
Wacha tuendelee kusubiri
Haina logo nyekundu na haijavunjika vipande viwili ila ajari imetokea tuendelee kufuatilia idadi ya waliokufaUmetimia nusu maana precision logo yake sio nyekundu. Huenda utabiri wake ni wa ajali nyingine
Vipi anko, tumpe usajili wa kudumu kilingeni?
Unajua kukaza fuvu ila si imetokea au?Haina logo nyekundu na haijavunjika vipande viwili ila ajari imetokea tuendelee kufuatilia idadi ya waliokufa
NIMESADIKI[emoji120][emoji850]Mkuu umeota au!!? Ukiwa umelala usiku usipende kuacha redio inaongea maana unaweza kuta walikua wanatoa dondoo za vita huko ukrain ukavijumlisha kwenye ndoto ukaja kusema ni utabiriView attachment 2397537
[emoji23][emoji23][emoji23]huenda akaota future yangu nataka nijue mapemaaaa,wacha nikae nae karibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji849][emoji849]Kweli aiseeMsimdhihaki Huyu mshikaji hebu tafuteni nyuzi zake na comment alizowahi kuandika hakoseagi.
Kweli! Ishu hapa sio alicho ona mtabiri, ishu ni ss tuliyo yashudia baada ya utabiri, kua ilikua inapaa au ilikua inatua, ilikua nyeusi au nyeupe havihusiani anahitaji credits zakeUkitak kujua Binaadam ana wivu na roho mbaya we angalia wanaopinga huu utabiri.
Roho za Wivu na kichawi.
Utabiri si lazima utimie wote. Ishu ni dhima kuu ambayo ni AJALI na tyr ishatokea