Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Mbona tunaambiwa kwa vitabu Yusuf alipata ndoto za mambo yatakayotokea mbele na ikatokea. Wengine wanapewa uwezo tu wa kuota mambo na yakatokea. Tuache ujuaji wa dini tulizoletewa na 'mabwana' zetu wa Mashariki ya mbali. Sijaona kosa lake.
 

Exposure yako bado ni Ndogo sana, aliyekwambia kua hiyo salamu ni ya kislam nani.

Hiyo ni Salamu ya JAMII ya kiarabu au lugha ya kiarabu ikiwa na maana ya “peace be upon on you” au “Amani iwe juu yenu”

Wewe sasa ndio unauchanga uislamu.

Nikupe na Maneno ya akiba, Kanzu sio vazi la kislamu, ni vazi la JAMII ya kiarabu, uwarabuni kila mtu anavaa haijalishi ni Dini gani.
 
Ramli
Ramli chonganishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…